Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji wamsimamisha Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa kumtaka awaondolee kero ya Zahanati

DSC04675

Jengo la zahanati ya kijiji cha Lamba kata ya Mgori jimbo la Singida kaskazini ambalo inadaiwa limekamilika kujengwa zaidi ya miaka mitatu lakini hadi sasa halijaanza kutumika. Kitendo cha kushindwa kuanza kutumika kwa zahanati hiyo, inadaiwa kusababisha usumbufu wakazi wa kijiji cha Lamba kufuata huduma za afya kwenye kijiji cha Ngimu kilometa 15 au kijiji cha Mgori kilometa nane.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKAZI wa kijiji cha Lamba kata ya Mgori jimbo la Singida...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida

Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.

Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.

Baada ya Serikali kufuta...

 

10 years ago

Dewji Blog

Agizo la kukabidhi vyumba vya maabara kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida bado kutekelezwa

DSC01906

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya Ikungi wilayani Ikungi mkoa wa Singida,wakishiriki ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara jana kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, aliagiza akabidhiwe vyumba vitatu vya maabara kwa kila shule ya sekondari 153 za kata za mkoa huo kabla ya oktoba 15 mwaka huu.Mambo yamekuwa tofauti kwa shule ya sekondari ya kata ya Ikungi ambayo hadi sasa bado ujenzi upo ngazi ya msingi.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC01907

DSC01910

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA ZAHANATI YA MKONZE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi mwishoni mwa wiki (Julai 3) alifanya ziara ya kutembelea zahanati ya kijiji cha Mkonze Manispaa ya Dodoma kukagua kazi ya ukarabati wa Jengo la Zahanati ya kijiji hiko lililokuwa limetokewa na nyufa kwenye baadhi ya kuta na kusababisha jengo hilo mali ya serikali lisitumike kutoa huduma kwa wananchi kwa sababu za kiusalama.  Kwa sasa jEngo hilo linaendelea kufanyiwa ukarabati ikiwa ni kulijengea nguzo za zege kwenye kuta ili kuliongezea uimara na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hillary Shoo wa Jambo Leo Singida, anyakua cheti maalumu kwa uandishi bora wa habari za Usalama Barabarani mkoa wa Singida

SHOO..1

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamboleo Mkoa wa Singida, Hillary Shoo,akipokea cheti maalumu kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Singida, Aziza Mumba ikiwa ni mchango wake mkubwa katika kuandika habari za kuelimisha jamii juu ya wiki ya nenda kwa usalama barabara Mkoa wa Singida, halfa hiyo ilifanyika jana kwenye viwanja vya kituo cha mabasi yaendeyo mikoani, kulia ni Kamanda wa polisi Mkoani humo Thobias Sedoyeka.( PICHA NA MPIGA HISANI YA MO BLOG).

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yasusa chai ya Mkuu wa Mkoa wa SIngida

DSC04356

Mshauri wa kampuni ya kufua umeme wa upepo Geo Wind, Machwa Kagoswe, akitoa ufafanuzi juu ya kazi ya ufuaji umeme wa upepo katika eneo la kijiji cha Kisasida manispaa ya Singida mbele ya kamati ya Bunge ya Nishati na madini iliyotembelea mkoa wa Singida hivi karibuni.Mwenye miwani ni mwenyekiti wa kamati hiyo Richard Ndassa.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAMPUNI ya ubia ya Geo Wind Power Tanzania ltd,inatarajia kutumia zaidi ya dola ya Marekani 136 milioni kwa ajili ya kugharamia uzalishaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa Zahanati kugharimu 384 Milioni Singida

MANISPAA

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Joseph Mchina akitoa taarifa ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Picha na Maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri  ya Manispaa ya Singida, inatarajia kutumia zaidi ya shilingi 384.4 milioni, kugharamia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mtisi kata ya Mtamaa,inayokadiriwa kukamilika katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.

Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Joseph Mchina, alisema...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI AHADI YA MABATI ZAHANATI YA MPUGUZI SINGIDA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Febuari 25,2020 amekamilisha ahadi yake aliyoitoa kwa Wananchi wa Kijiji cha Mpugizi kata ya Mwaru Mkoani Singida kwa kumkabidhi fedha Taslim Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Immanuel Kingu kwa ajili ya kununulia Mabati Mia mbili ya kuezekea Zahanati ya Kijiji hicho.(picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani