Wanamichezo Tanzania wamlilia Mandela
Wanamichezo mbalimbali nchini wameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, mzee Nelson Mandela na kumwelezea namna alivyokuwa mstari wa mbele kwenye michezo hasa ngumi ambapo mzee Mandela aliwahi kuwa bondia
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Wanamichezo wamlilia Mzee Mandela
, Mandela alimaliza kifungo chake cha miaka 27 gerezani na miaka minne baadaye alikuwa Rais wa kwanza Mwafrika, Afrika Kusini
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Wanamichezo wamkumbuka Mandela
Wanamichezo mashuhuri, duniani wametoa rambi rambi zao kwa hayati Nelson Mandela, aliyefariki akiwa na umri wa miaka
10 years ago
Michuzi
CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba

11 years ago
GPL
MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo. Tarehe ya Tuzo
Kamati imepanga kuwa tuzo hizo zifanyike Juni 27, 2014 jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa kwa ushirikiano wa Kamati ya Tuzo na Kamati ya Utendaji ya TASWA. Tayari Kamati ya Tuzo na...
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
11 years ago
MichuziWanamichezo wa Tanzania warejea huku wakiijengea nchi heshima ya kuwa na nidhamu
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania