Wanamichezo wamkumbuka Mandela
Wanamichezo mashuhuri, duniani wametoa rambi rambi zao kwa hayati Nelson Mandela, aliyefariki akiwa na umri wa miaka
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Wanamichezo Tanzania wamlilia Mandela
Wanamichezo mbalimbali nchini wameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, mzee Nelson Mandela na kumwelezea namna alivyokuwa mstari wa mbele kwenye michezo hasa ngumi ambapo mzee Mandela aliwahi kuwa bondia
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Wanamichezo wamlilia Mzee Mandela
, Mandela alimaliza kifungo chake cha miaka 27 gerezani na miaka minne baadaye alikuwa Rais wa kwanza Mwafrika, Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Watanzania wamkumbuka Nyerere mtandaoni
Watanzania kwenye mitandao ya kijamii wamekuwa wakitumia #DearNyerere kumkumbuka mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere.
11 years ago
GPL
WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA
Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo chake.
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Geita wamkumbuka Kamanda Paulo
BAADHI ya Wananchi wilayani Geita mkoani hapa, wamemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kumrudisha aliyekuwa Kamanda wa Mkoa, Leonard Paulo aliyehamishiwa Marogoro hivi karibuni. Wakizungumza kwa nyakati...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Watoto walia, wamkumbuka Nasra
 Jina la mtoto Nasra Mvungi jana lilitawala maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika nchini. Watoto walielezea kilio chao juu ya ukatili unaofanywa na wazazi na walezi wao wakirejea mateso aliyoyapata marehemu Nasra aliyeishi kwenye boksi kwa miaka takriban mitatu huko Morogoro.
10 years ago
Michuzi
Wabunge wamkumbuka Marehemu Hashim Mbita
Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Madawa ya Kulevya iliyopo ziarani nchini Zimbabwe hivi karibuni ilipata fursa ya kutembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Harare na kusaini kitabu cha maombolezo ya aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Marehemu Brig. Jenerali Hashim Mbita aliefariki Dunia mwananzoni mwa wiki hii.
Pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Masuala ya Madawa ya Kulevya Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (juu) na Mhe. Neema Mgaya Himid (picha ya chini)...

11 years ago
GPL
WAISLAMU DAR WAMKUMBUKA MJUKUU WA MTUME MUHAMMAD (SAW)
Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakati wa matembezi hayo. WAISLAMU jijini Dar es Salaam leo wamefanya matembezi ya amani ya kumkumbuka mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) aliyekuwa akijulikana kwa jina la Imamu Hussein Bin Ali Bin Abutwalib  aliyeuawa katika nchi ya Iraq kwenye Mji wa Karbala kwa kutetea haki. Matembezi hayo yameanzia Ilala Boma kuelekea Uwanja wa Pipo Kigogo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753...
11 years ago
Vijimambo
VIJANA WA VYUO VIKUU WAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE






Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania