Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamuziki wa Bongo Wafanya Semina

WASANII wa bongo

Baadhi ya Wanamziki Wakiwa Kwenye Semina

Wanamuziki wa Bongo flava, Dansi na Taarab leo wanafanya semina ya kujadili juu ya ubora wa kazi zao za muziki (mastering) ili uweze kufanana na miziki mingine ya nje ya Tanzania, mdau mkubwa wa muziki Bongo Babu Tale alifungua semina hiyo kwa kuongelea suala hilo kwa undani zaidi juu ya Wanamuziki wa Bongo kujijenga vizuri ili ngoma wanazozitoa ziwezwe kupenyaa kila kona ya dunia kutokana na kiwango kufanana na miziki mingine, hivyo semina hii ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANAMUZIKI WITNESS NA OCHU WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy , muda mfupi baada ya kuwasili katika studio za Global TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Ochu (kulia), akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Witness akijibu moja ya…

 

10 years ago

Michuzi

Wanamuziki wa Bongo Msiogope Kutoa kazi Zenu nje ya nchi, Mnakubalika! - Ras Makunja.

 Katika mahojiano ya Ras Makunja kiongozi wa Ngoma Africa band iliyopo kule nchini ujerumani na Zenj FM katika kipindi maalumu cha muziki wa dansi kinaongozwa na mtangazaji mahiri bwana Mustapha Mussa (pichani kulia) siku ya Jumamosi 25 April 2015.
Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja akihojiwa kwa njia ya simu alikuwa akijibu maswali ambayo majibu yake yamesikika kama ni pumzi mpya ya uhai wa muziki wa dansi Tanzania na miziki mingine kama vile taarabu na muziki wa kizazi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano ya Kamanda Ras Makunja na Zenj FM, asema Wanamuziki wa Bongo watoe kazi zao nje ya nchi

Wanamuziki wa Bongo Msiogope Kutoa kazi Zenu nje ya nchi ! Mnakubalika-
Asema Ras Makunja.

Katika mahojiano ya Ras Makunja kiongozi wa Ngoma Africa band iliyopo kule
nchini ujerumani na Zenj FM katika kipindi maalumu cha muziki wa dansi kinaongozwa na mtangazaji mahiri bwana Mustapha Mussa siku ya jumamosi 25 April 2015.
Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja akihojiwa kwa njia ya simu alikuwa akijibu maswali ambayo majibu yake yamesikika kama ni pumzi mpya ya uhai wa muziki wa...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA SHINA WA CCM SINZA E WAFANYA SEMINA YA MAFUNZO

Wajumbe wakipitia karatasi za muongozo wa semina hiyo.
 Katibu wa Siasa na Uenezi Tawi la Sinza-E, kata ya Sinza, Herold Kambona (aliyesimama) akifafanua jambo katika semina hiyo.
 Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Kinondoni, Mwinyimkuu Sangaraza akielezea uhai wa chama na jinsi…

 

11 years ago

GPL

WASANII BONGO WAPEWA SEMINA

Mwendesha shughuli hiyo, Ruge Mutahaba akizungumza jambo. Muigizaji, Tellence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo. Tellence J na Shaka Zulu.…

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya Semina ya Wasanii Bongo Movie

 Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni mkurugenzi wa Kampuni ya Chief Promotion, Amon Mkoga na Meneja Msaidizi wa PSPF, Matrida Nyallo. katika hafla iliyo fanyika kwenye Ukumbi wa Idara Habari Maelezo.

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MUVI WAPEWA SEMINA NA TCRA

 Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi  Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu...

 

10 years ago

GPL

‘BONGO ALL STARS’ WAFANYA MAKAMUZI BUSINESS PARK, DAR

Baadhi ya wasanii waliokuwa wakiunda kundi la East Coast, Gwamaka Kaihura  GK na Mwana FA wakikamua. Shetta akipagawisha jukwaani na baadhi ya warembo waliohamasika na wimbo wake wa ‘Shikorobo’ na kuamua kuungana naye jukwaani. Chege na Temba wakionyesha uwezo wao.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani