Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi 500 wafunga lango la A to Z

Wananchi zaidi ya 500 kutoka mitaa mbalimbali ya Kata ya Mateves jijini Arusha ,jana walifunga lango kuu la kuingia kwenye kiwanda cha A to Z kinachotengeneza bidhaa za aina mbalimbali zikiwemo vyandarua na nguo, wakipinga kiwanda hicho kutiririsha majitaka kwenye makazi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wafunga barabara

Wakazi wa Kijiji Melela Mangae, Kata ya Melela, wilayani Mvomero, wamefunga barabara ya Morogoro- Iringa kwa zaidi ya saa sita wakishinikiza kuondolewa kwa wafugaji wa jamii ya Kimasai kijijini hapo kwamba wamekuwa wakiwapiga na kuingiza mifugo mashambani.

 

10 years ago

Vijimambo

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo.Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.
WANANCHI wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa, wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo kituoni hapo pamoja na mafaili.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, tukio hilo limetokea leo asubuhi kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika...

 

10 years ago

GPL

VURUGU IRINGA, WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUU

Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo. Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga…

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzzz: wananchi Kibaigwa wafunga barababa usiku huu

Wananchi wa kijiji cha kibaigwa wamefunga Barabara kuu ya Morogoro kwende Dodoma usiku huu, kwa madai ya kutaka kupunguzwa Kwa ushuru wa mazao na kuamua kufunga barabara hiyo ili waweze kuonana na uongozi wa juu wa Serikali ili kusikiliza mahitaji yao ambayo wanadai hayajawahi fanyika kazi na viongozi wa Kijiji. 
Kinachoendelea hivi sasa ni Jeshi la Polisi likijaribu kuwatawanya wananchi hao kwa kutumia mabobu ya machozi.
Wananchi hao wamejikusanya kuwatawanya kwa wingi katika eneo hilo...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

10 years ago

Mwananchi

Mradi wa maji kuwakomboa wananchi 247,500 K’njaro

>Serikali imeanza ujenzi wa mradi wa maji utakaowanufaisha wananchi 247,500 katika vijiji 28 vya wilaya za Mwanga na Same, mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

Michuzi

wananchi wafunga barabara kawe bondeni kushinikiza matuta yajengwe barabara ya bagamoyo kuzuia ajali

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani