Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi kufaidi mapato ya mafuta

SERIKALI imeandaa sera ya petroli itakayowezesha asilimia tatu ya mapato yatakayopatikana kutokana na uchimbaji wa rasilimali hiyo kubaki katika halmashauri ya eneo hilo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Ngudu na matarajio ya kufaidi maji safi na salama

MAJI ni moja ya huduma za muhimu na za msingi kwa maisha ya binadamu. Mbali ya maji kutumika katika shughuli za kila siku za mwanadamu, mifugo na wanyamapori, pia ni...

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wataka mapato, matumizi

Mkutano wa mwaka wa Kijiji cha Chalikani, Kata ya Maweni, Halmashauri ya Jiji la Tanga umevunjika baada ya wananchi kutaka kwanza kusomewa taarifa ya mapato na matumizi.

 

10 years ago

Habarileo

RC asisitiza wananchi kusomewa mapato na matumizi

Mkuu Mkoa wa Singida, Dk Parseko KoneSERIKALI za vijiji mkoani Singida zimetakiwa kuwasomea wananchi wake kwa mujibu wa taratibu taarifa za mapato na matumizi ya makusanyo mbalimbali wanayofanya ili kuondoa malalamiko yoyote yasiyo ya lazima.

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamis Kigwangala amezitaka Sekretarieti za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba inawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti kubuni vyanzo vya mapatao.
 Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Total Romee de Villeneuve. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dra es salaam.   Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total muda mfupi baada ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]

The post Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100 appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Liberia kufaidi dawa za Zmapp

Jopo la wataalam wa shirika la afya duniani WHO limeamua kuwa watu wanaweza kutumia dawa ambayo hazijajaribiwa ya Zmapp

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani