Liberia kufaidi dawa za Zmapp
Jopo la wataalam wa shirika la afya duniani WHO limeamua kuwa watu wanaweza kutumia dawa ambayo hazijajaribiwa ya Zmapp
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Daktari aliyetibiwa na Zmapp aaga Liberia
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
WHO:Ni sawa kutumia dawa za 'Zmapp'
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Dawa ya ZMapp yalazimishwa kuingia sokoni kutibu ebola
10 years ago
Habarileo30 Aug
Wananchi kufaidi mapato ya mafuta
SERIKALI imeandaa sera ya petroli itakayowezesha asilimia tatu ya mapato yatakayopatikana kutokana na uchimbaji wa rasilimali hiyo kubaki katika halmashauri ya eneo hilo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
10 years ago
Habarileo09 Apr
Vijiji 93 Njombe na Iringa kufaidi umeme
WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mikoa ya Iringa na Njombe wanatarajia kuongezeka kutoka 63,300 wa sasa hadi zaidi ya 93,000 ifikapo mwaka 2017.
11 years ago
Habarileo24 Jun
Vijana 916 waandaliwa kufaidi gesi
VIJANA 916 wa Kitanzania wengi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wamepewa mafunzo ya ndani na nje ya nchi zitakazokuwa na mahitaji makubwa katika sekta ya gesi. Kati ya vijana hao, vijana 668 wanatoka katika mikoa ya Lindi na Mtwara na wamepewa mafunzo ya miaka miwili ya stadi za huduma mbalimbali katika viwango vya kimataifa, katika Chuo cha Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA), mkoani Mtwara.
10 years ago
MichuziKILWA WAENDELEA KUFAIDI HUDUMA ZA WAWEKEZAJI WA GESI
Na Abdulaziz Kilwa Masoko
Wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kunufaika na wawekezaji,baada ya kampuni ya uchimbaji gesi ya PANAFRICAN ENERGY kuikabidhi halmashauri hiyo zahanati ya kijiji cha Nangurukuru ambayo ujenzi wake umegharimu Tshs 262 Milioni .
Akizungumza wakati...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Wananchi Ngudu na matarajio ya kufaidi maji safi na salama
MAJI ni moja ya huduma za muhimu na za msingi kwa maisha ya binadamu. Mbali ya maji kutumika katika shughuli za kila siku za mwanadamu, mifugo na wanyamapori, pia ni...
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Baada ya Serengeti Boy Kujinadi Kulifaidi Kufaidi Penzi Lake, Wolper Achukulia Kama Changamoto!
Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.
Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana...