Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wailaumu serikali

WANANCHI  wa vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilaumu serikali kuwatelekeza kwa kutowapa elimu ya sera na sheria za ardhi mbali na umuhimu wake katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Nakalekwa wailaumu manispaa

WAKAZI wa Nakalekwa, Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni, wameitupia lawama manispaa hiyo kwa kuegemea upande mmoja katika mgogoro wa ardhi unaolihusu eneo lao. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Chekimaji wailaumu halmashauri ya Hai kwa Uharibifu wa Mashamba Ya Mpunga

Wakazi wa Kijiji cha Chekimaji wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameulalamikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kuwashirikisha katika ujenzi wa mradi wa Barabara yenye urefu wa kilomita 30 inayojengwa kwa kiwango cha Moramu kwa gharama ya shilingi bilioni 1.4.

Malalamiko hayo yanakuja kutokana na uharibifu mkubwa wa mashamba ya Mpunga baada ya ujenzi wa barabara hiyo inayopita katikati ya mashamba hayo kuanza mara moja.

Katika mkutano maalumu uliowakutanisha wakulima wenye...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi Zanzibar wakataa serikali 3

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba (kutoka kushoto kwake) Freeman Mbowe, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).ASILIMIA 60 ya wananchi wa visiwani Zanzibar waliotoa maoni yao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wametaka muundo wa Muungano wa serikali ya mkataba na hakuna hata mwananchi mmoja aliyetaka muundo wa serikali tatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sasa ni vita ya serikali na wananchi

TANGU kuzaliwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1992 hali ya kisiasa imekuwa ya mvurugano. Watawala ambao ni CCM wamekuwa wakilinda nafasi yao ili isichukuliwe na wapinzani wao....

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAITIKIA WITO WA SERIKALI


Na Mwandishi wetu Mihambwe

Leo Jumatatu Aprili 6, 2020 Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amewashukuru Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe kwa kuitikia vyema wito wa Serikali wa kupambana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na kirusi Corona.

Gavana Shilatu ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua maeneo mbalimbali kuona namna gani Wananchi wanajikinga na ugonjwa wa virusi vya Corona ambapo alikuta Watu wengi wamezingatia somo la kunawa kwa kuweka ndoo yenye maji pamoja na sabuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawatoa hofu wananchi

SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo....

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI UJENZI ZAHANATI


~ Kuwaondolea kero ya afya
~ Waridhishwa na ujenzi
 Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Wananchi wa Kijiji cha Miuta kata ya Miuta wamemshukuru Rais Magufuli na Serikali yake kuwajengea Zahanati ya Miuta ambayo inaenda Kuwaondolea kero ya kupata huduma ya afya. 
Wananchi hao ambao awali wameridhishwa na kasi na kiwango cha ujenzi wa Zahanati hiyo wameomba Zahanati hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani