Wakazi Nakalekwa wailaumu manispaa
WAKAZI wa Nakalekwa, Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni, wameitupia lawama manispaa hiyo kwa kuegemea upande mmoja katika mgogoro wa ardhi unaolihusu eneo lao. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV04 Jan
Wakazi Chekimaji wailaumu halmashauri ya Hai kwa Uharibifu wa Mashamba Ya Mpunga
Wakazi wa Kijiji cha Chekimaji wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameulalamikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kuwashirikisha katika ujenzi wa mradi wa Barabara yenye urefu wa kilomita 30 inayojengwa kwa kiwango cha Moramu kwa gharama ya shilingi bilioni 1.4.
Malalamiko hayo yanakuja kutokana na uharibifu mkubwa wa mashamba ya Mpunga baada ya ujenzi wa barabara hiyo inayopita katikati ya mashamba hayo kuanza mara moja.
Katika mkutano maalumu uliowakutanisha wakulima wenye...
10 years ago
Michuzi25 Sep
WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI
![http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698](http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698)
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...
9 years ago
StarTV06 Oct
Wakazi Manispaa ya Morogoro wakosa huduma kwa saa 8
Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wamekosa huduma ya Usafiri wa daladala kwa muda wa saa saba baada ya madereva wanaotoa huduma hiyo kugoma wakishinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba mafuta ya petrol kwenye gari zao pamoja na kero ya faini zisizo na msingi kutoka SUMATRA.
Madereva hao wamesema wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na maafisa kutoka mamlaka ya Udhibiti usafiri wa majini na nchi kavu (SUMTRA) pamoja na manyanyaso kutoka jeshi la Polisi kitengo cha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VSwmG4l8kOo/VWrnXmoGAEI/AAAAAAAHa8c/m5gSHV31JkQ/s72-c/unnamed03.jpg)
NSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA WAKAZI WA MANISPAA YA MOSHI
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) limeendelea na zoezi la upimaji afya kwa wananchi, Zoezi hili lililoanzia mkoani Tanga limeendelea kwenye manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Zoezi lililofanyika kwa siku tatu mfululizo limekuwa la mafanikio kwa kuweza kuwafikia watu zaidi ya 900 .
Huduma zilizo kuwa zikitolewa kwenye zoezi ni pamoja na:
• Upimaji wa Shinikizo la damu
• Upimaji wa sukari kwenye damu- Kisukari
• Upimaji wa hali ya lishe (Uwiano wa Urefu kwa uzito)
• Ushauri wa kitaalam...
10 years ago
Dewji Blog20 May
Wakazi wa manispaa ya Singida walalamikia uongozi kushindwa kuzoa taka ngumu
Baadhi ya maghuba yaliyopo katika Manispaa ya Singida yakiwa yamefurika taka ngumu kwa muda mrefu sasa kama ambavyo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bwana Joseph Mchina alivyokiri katika maelezo yake kushindwa kuzoa kutokana na magari ya kuzolea taka kuchelewa kufika.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Singida
WAKAZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wameulalakia uongozi wa Manispaa hiyo kwa kushindwa kuzoa taka kwenye maghuba ya kukusanyia taka ngumu zinazokusanywa...
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Nakalekwa watakiwa kuchagua viongozi bora
WAKAZI wa Mtaa mpya wa Nakalekwa Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, wametakiwa kuwachagua viongozi bora wa mtaa huo wanaofahamu shida zinazowakabili ikiwemo kubomolewa na kuchomewa moto makazi yao...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Wananchi wailaumu serikali
WANANCHI wa vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilaumu serikali kuwatelekeza kwa kutowapa elimu ya sera na sheria za ardhi mbali na umuhimu wake katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLTsqM2s7r4rfRubV9rwF-5V77iTRH2Xqi3omvyvUwe88uPlqhIsx33Dqcp3bDRBrW0cZJB2ADuR8eI4vvkrUuKY/Photo1.jpg)
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0cPmGNgf51M/VBNloT72_bI/AAAAAAACquM/1WIpqy1LTpo/s72-c/5.jpg)
WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0cPmGNgf51M/VBNloT72_bI/AAAAAAACquM/1WIpqy1LTpo/s1600/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qvJtI-FXRpE/VBNpzXDxTgI/AAAAAAACquk/NcynDHmhNvE/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-txkv9zEdcDM/VBNp0e6MWFI/AAAAAAACqu0/xzNCMXQVVRg/s1600/4.jpg)