Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wamwapisha mwenyekiti wa mtaa

Pg 1NA OLIVER OSWALD, DAR ES SALAAM
WANANCHI wa Kata ya Migombani, Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, jana walimwapisha Japhet Kembo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mwenyekiti mpya wa Mtaa wa Migombani, wakidai ndiye mshindi halali wa nafasi hiyo katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.
Sambamba na hilo pia wananchi hao waliwaapisha wajumbe watano wa kamati ya mtaa huo, ambao ni Rose Mhagama, Flora Nyangeta, Angelo Machunda,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa Mtaa Ilazo lawamani

WAKAZI wa Mtaa wa Ilazo, Kata ya Ipagala, Manispaa ya Dodoma Mjini, wamemlalamikia Mwenyekiti wa mtaa huo,   Samwel Chimalusotola (CCM) kwa kuwatoza fedha pindi wanapohitaji huduma katika serikali hiyo. Wakizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi

Baada ya kusubiri kwa muda wa wiki mbili ili wajumbe serikali ya mtaa wa Migombani-Segerea waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva (kushoto) akikabidhi fedha kwa Katibu wa Shina la CCM Morogoro Store, Ramadhan Abdallah, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya kutunisha mfuko na kukihimarisha chama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Shina la CCM Morogoro Store,Majibu Joseph.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA MTAA ALIYESHINDA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM AAPISHWA KIAINA

Japhet Kembo (Chadema) akila kiapo cha kuwa mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Migombani kata ya Segerea wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam mbele ya wakili wa kujitegemea Idd Msawanga (mwenye suti nyeusi) leo Jumatatu Januari 19, 2015 nje ya ofisi hizo, jijini Dar es Salaam, tukio hilo ni la aina yake kwani kiutaratibu, mshindi huapishwa katika hafla inayoandaliwa na halmashauri ya wilaya husika. Hata hivyo, kumekuwepo na mizengwe ya kuapishwa kwa Japhet, ambapo viongozi wenzake kutoka kata...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI KAMATI YA MAZINGIRA MTAA WA TAMBUKARELI MIKONONI MWA TAKUKURU KWA KUJIFANYA OFISA ARDHI ILI KUPATA FEDHA


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam inamshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira wa Mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kinyume cha kifungu cha sheria namba 302 cha sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Akizungumzia kukamatwa na kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam Donacian Kessy...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani