Wanaomtetea Prof. Muhongo wajibu haya
Ametajwa kuwa dalali uchotwaji fedha za Escrow
Chini ya utawala wake, deni la Tanesco limepaa maradufu kufikia bil. 456/-
Umeme bado hautabiriki, unakatika kila uchao
Mikataba ya madini haijapitiwa kama alivyoahidiJitihada za kumtetea Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa kudai kuwa amefanya mambo makubwa katika kipindi kifupi alichokaa na hivyo hastahili kuondoshwa licha ya kuhusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bili. 300 za akaunti ya Escrow iliyokuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s72-c/1.jpg)
HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s1600/1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rChn-QJ6gM/VJhdx7TABQI/AAAAAAAAVDY/vyedmvEXjO4/s1600/12.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-85xjOsGLXKo/VJhdzYAjX1I/AAAAAAAAVDk/1KuPUy1fFNY/s1600/14.jpg)
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMS-NLx00o4VN1*j4J-kgXN2w4l3xHDuwB-MCRDi8Yxl9OSc1Ai4uD06brjEUwSE2P-7lFCF4lzO8lXrsOna-LGh/PROFMUHONGO.jpg?width=650)
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-clg0giDo4Sw/VjGCK8XC2dI/AAAAAAAIDUE/tQHfKLLGKi4/s72-c/16475126-Teacher-Stock-Vector-professor-teacher-cap.jpg)
Maprofesa na Wajibu wa Kuandika - Prof. Mbele
![](http://2.bp.blogspot.com/-clg0giDo4Sw/VjGCK8XC2dI/AAAAAAAIDUE/tQHfKLLGKi4/s1600/16475126-Teacher-Stock-Vector-professor-teacher-cap.jpg)
Profesa ni mtu aliyefikia kiwango cha juu cha ufanisi katika ufundishaji, utafiti, uandishi, na kutoa ushauri kwa jamii katika masuala mbali mbali yanayohusiana na utaalam wake. Siwezi kuongelea hapa vipengele vyote vya suala hili, kama vile vigezo vinavyotumika katika kupima ufanisi wa mhusika hadi kumfikisha kwenye hadhi ya uprofesa. Ninakumbushia tu suala la wajibu wa profesa wa kuandika.
Baadhi yetu wa-Tanzania tumeliwazia na kuliongelea suala hili kwa miaka mingi,...
10 years ago
StarTV24 Jan
Prof. Muhongo ajiuzulu.
Waziri wa nishati na madini nchini Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu,na kumfanya kuwa afisa wa tatu wa ngazi za juu serikalini kuathiriwa na ufisadi uliokumba sekta ya kawi katika taifa hilo la Afrika mashariki.
Professa Muhongo alitoa tanagazo hilo wakati wa mkutano na vyombo vya habari.
Kujiuzulu kwake kunajiri baada ya kufutwa kazi kwa waziri wa Ardhi na kujiuzulu kwa mwanasheria mkuu ,wote wakiwa wamehusishwa na kutolewa kwa zaidi ya dola milioni 120 kutoka kwa benki kuu...
10 years ago
IPPmedia25 Jan
Prof Sospeter Muhongo
IPPmedia
IPPmedia
It was months, weeks and days of soul searching and probing for Minister for Energy and Minerals Prof Sospeter Muhongo until only yesterday when he called it quits, bowing to pressure that called for his resignation due to mishandling of the Tegeta Escrow ...
Tanzanian minister quits over corruption scandalThe Nation
Tanzania cabinet reshuffledTimes of Oman
Tanzanian President appoints new ministers for energy and landsShanghai Daily (subscription)
Daily...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BQYvuhTTjnc/VovNrmzidNI/AAAAAAAIQos/zcsDFmumXS0/s72-c/picha%2B1.%2B%2BKM.jpg)
PROF. MUHONGO ‘TUKUBALI KUBADILIKA’
![](http://3.bp.blogspot.com/-BQYvuhTTjnc/VovNrmzidNI/AAAAAAAIQos/zcsDFmumXS0/s640/picha%2B1.%2B%2BKM.jpg)
10 years ago
Habarileo12 Dec
Nishati wazidi kumbeba Prof. Muhongo
WAKATI Watanzania wakisubiri uchunguzi unaofanywa na Serikali kuhusu utoaji wa fedha Sh bilioni 182.77 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa miaka miwili ya Wizara ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Profesa Sospeter Muhongo, umefanikisha ongezeko la umeme katika Gridi ya Taifa.
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Meninah aolewa na mtoto wa Prof. Muhongo
Na Victoria Patrick (TSJ)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Meninah Atick ‘Mennahladiva’ mwishoni mwa wiki aliuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, Abdukarim Haule.
Meninah, ambaye kipaji chake cha muziki kilianza kuonekana kupitia shindano la Bongo Star Search, ametamba na nyimbo za ‘Dream Tonight’, ‘Ka-Copy Ka-Paste’.
Mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule, amebadili dini na kuitwa Abdukarim Haule na harusi yao...