Maprofesa na Wajibu wa Kuandika - Prof. Mbele
![](http://2.bp.blogspot.com/-clg0giDo4Sw/VjGCK8XC2dI/AAAAAAAIDUE/tQHfKLLGKi4/s72-c/16475126-Teacher-Stock-Vector-professor-teacher-cap.jpg)
Na Profesa Joseph Mbele
Profesa ni mtu aliyefikia kiwango cha juu cha ufanisi katika ufundishaji, utafiti, uandishi, na kutoa ushauri kwa jamii katika masuala mbali mbali yanayohusiana na utaalam wake. Siwezi kuongelea hapa vipengele vyote vya suala hili, kama vile vigezo vinavyotumika katika kupima ufanisi wa mhusika hadi kumfikisha kwenye hadhi ya uprofesa. Ninakumbushia tu suala la wajibu wa profesa wa kuandika.
Baadhi yetu wa-Tanzania tumeliwazia na kuliongelea suala hili kwa miaka mingi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Dec
Wanaomtetea Prof. Muhongo wajibu haya
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
10 years ago
Michuzivitabu nilivyonunua hivi karibuni - Prof Mbele
Napenda kuendelea na jadi yangu ya kuvitaja vitabu nilivyoongeza katika maktaba yangu katika siku chache zilizopita.
Kitabu kimoja ni The Poetic Edda: Stories of the Norse Gods and Heroes,kilichotafsiriwa na Jackson Crowford. The Poetic Edda ni kitabu maarufu sana ambacho nimekisikia kwa miaka mingi. Ni mkusanyo wa hadithi na mashairi ya mapokeo juu ya miungu na mashujaa wa Iceland.
Nimeamua kujipatia nakala wakati huu ambapo nimekuwa nafundisha utungo maarufu wa Finland...
9 years ago
MichuziPROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FAyUBzOM-9I/VXeO_Wbb5UI/AAAAAAADq7o/zV1LufxyouE/s72-c/Tibaijuka.jpg)
UNANINI CHA KUSEMA JUU YA MANENO HAYA YA PROF ANNA TIBAIJUKA KWA WAPIGA KULA WAKE BAADA KUZOMEWA MBELE YA KINANA HUKO BUKOBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-FAyUBzOM-9I/VXeO_Wbb5UI/AAAAAAADq7o/zV1LufxyouE/s640/Tibaijuka.jpg)
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Maprofesa, madaktari watawala baraza la JPM
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Nini kinawakwaza maprofesa katika siasa?
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Washangaa maprofesa kuwasilisha maoni sasa
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Utata kuhusu ukubwa/udogo wa serikali, madaktari na maprofesa
KWA mwendo wa taratibu, Rais John Magufuli ameendelea kukamilisha barala la mawaziri atakalofanya
Jenerali Ulimwengu
5 years ago
Bongo514 Feb
Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje
Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.
Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.
Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...