Washangaa maprofesa kuwasilisha maoni sasa
Kitendo cha maprofesa kuwasilisha kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samia Suluhu Hassan kitabu kiitwacho ‘Katiba Bora Tanzania’ huku kamati za bunge hilo zikijadili Rasimu ya Katiba kimeibua maswali mengi kwa wananchi .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 May
Kura ya Maoni sasa hatihati
UWEZEKANO wa kufanyika kwa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, umeanza kupungua na kusababisha Kamati Kuu (CCM) ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, kuagiza Serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutafakari upya kura hiyo.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar24 Sep
Piga kura ya maoni sasa
Bonyeza hapa kupiga kura online
The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili08 May
Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Tuliwabeza, sasa tunawasifu kuhusu kura ya maoni
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Sheria ya ndoa sasa kupigiwa kura ya maoni
10 years ago
Mwananchi27 Dec
MAONI: Kashfa hizi kwa Serikali sasa basi
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Washangaa mbunge wao kuitwa ‘mzigo’
WANANCHI wilayani Ulanga, Morogoro, wamekuja juu kutokana na mbunge wao, Celina Kombani, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, kuhusishwa kuwa ni mmoja...
9 years ago
StarTV17 Nov
Huduma Muhimbili yasimama tena, Wananchi washangaa
Mashine ya MRI iliyoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, iliyoanza kazi siku chache zilizopita imeharibika na kushindwa kufanya kazi tena na kusababisha kusimama kwa huduma za vipimo kwa wagonjwa wanaopaswa kupimwa na mashine hiyo.
Mashine hiyo ilianza kufanya kazi Baada ya tamko la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli alilolitoa siku chache baada ya kuapishwa na kuutaka uongozi wa Hospitali hiyo uhakikishe mashine za CT-SCAN na MRI zinafanya kazi jambo ambalo...