Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maprofesa, madaktari watawala baraza la JPM

Rais John Magufuli amekamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri ambalo asilimia 53 ya wajumbe wote ni wasomi na wataalamu wa nyanja mbalimbali za kitaaluma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Utata kuhusu ukubwa/udogo wa serikali, madaktari na maprofesa

KWA mwendo wa taratibu, Rais John Magufuli ameendelea kukamilisha barala la mawaziri atakalofanya

Jenerali Ulimwengu

 

5 years ago

CCM Blog

DC MPYA ARUSHA AWAAMBIA MADAKTARI JINSI SERIKALI YA JPM ILIVYOLETA MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA AFYA

Arusha, TanzaniaMKUU mpya wa Wilaya ya Arusha, Kenan Laban Kihongosi amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli imeleta mapinduzi makubwa na yanayostahili kupongezwa katika sekta ya afya hapa nchini.
DC Kihongosi aliyasema hayo juzi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi  kwa madaktari na watoa huduma ya afya ambayo aliyafungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta.
Mafunzo hayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Sura mpya 17 ndani baraza la JPM

Miongoni mwa mawaziri na manaibu waziri walioteuliwa kwenye baraza jipya la  Rais John Magufuli, zimo sura mpya 17 ambazo zimeteuliwa kwa mara ya kwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Madaktari labebeshwa mzigo

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi, Dk Steven Kebwe.TUKIO la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) cha Dar es Salaam, linadaiwa kuandika historia mbaya nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Watanzania wanamatarajio makubwa kwa baraza la JPM

Bunge la Kumi na Moja chini ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli litaanza kazi rasmi Januari 26 mwakani takriban mwezi mmoja na nusu hivi kuanzia sasa. Kwa muda wa mwezi mmoja na siku tano tangu aapishwe, Rais Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri huku akiacha nafasi nne za mawaziri.

 

5 years ago

Michuzi

MSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI

MSAJILI wa Baraza la Veterinari Tanzania, Dkt Bedan Masuruli amewataka Madaktari wa Mifugo nchini kuhuisha majina yao kwenye daftari la usajili wa madaktari wa mifugo kabla ya  Julai 1, 2020.

Akizungumza na jijini Dodoma leo,  Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.

"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...

 

9 years ago

Michuzi

Maprofesa na Wajibu wa Kuandika - Prof. Mbele

Na Profesa Joseph Mbele
Profesa ni mtu aliyefikia kiwango cha juu cha ufanisi katika ufundishaji, utafiti, uandishi, na kutoa ushauri kwa jamii katika masuala mbali mbali yanayohusiana na utaalam wake. Siwezi kuongelea hapa vipengele vyote vya suala hili, kama vile vigezo vinavyotumika katika kupima ufanisi wa mhusika hadi kumfikisha kwenye hadhi ya uprofesa. Ninakumbushia tu suala la wajibu wa profesa wa kuandika.
Baadhi yetu wa-Tanzania tumeliwazia na kuliongelea suala hili kwa miaka mingi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Washangaa maprofesa kuwasilisha maoni sasa

Kitendo cha maprofesa kuwasilisha kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samia Suluhu Hassan kitabu kiitwacho ‘Katiba Bora Tanzania’ huku kamati za bunge hilo zikijadili Rasimu ya Katiba kimeibua maswali mengi kwa wananchi .

 

10 years ago

Mwananchi

Nini kinawakwaza maprofesa katika siasa?

Sitaki kuamini kuwa ule usemi wa nabii hakubaliki kwao ndiyo unawafanya maprofesa waliowahi kuteuliwa katika baraza la mawaziri kukwama kuonyesha ujuzi wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani