Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanataaluma UDSM, Warioba wamlilia Balozi Kazaura

Wasomi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), wamesema aliyekuwa Mkuu wa chuo hicho, Balozi Fulgence Kazaura ni mtu ambaye amekiacha chuo hicho sehemu nzuri kiuchumi na kitaaluma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Daily News

Kikwete mourns late UDSM Chancellor Kazaura


Daily News
Kikwete mourns late UDSM Chancellor Kazaura
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has expressed shock and sadness following the death of the University of Dar es Salaam Chancellor, Ambassador Fulgence Kazaura, in India on Friday night. In his condolence message to the Minister for Education and ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Kazaura afariki dunia

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Flugenze Kazaura, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Chennai nchini India. Taarifa ya kifo hicho imetolewa jana na...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Warioba awapa somo UDSM

Joseph WariobaALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewataka wanafunzi na walimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuzitambua kazi zilizofanywa na viongozi wao waliomaliza muda kwa kuwapa heshima kutokana na mabadiliko waliyofanya.

 

11 years ago

GPL

BALOZI FULGENCE KAZAURA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Balozi Fulgence Kazaura enzi za uhai wake akimtunuku PhD Waziri wa ujenzi Dk. John Magufuli. Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Balozi Fulgence Kazaura aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam (UDSM) kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyo ada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu wakatio wa msiba hapa DMV. Msiba upo 21, Featherwood...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KUWASILI MWILI WA BALOZI KAZAURA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiwapa pole baadhi ya ndugu wa marehemu. Mwili wa Balozi Kazaura ukiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia wamuaga Balozi Kazaura Dar es Salaam

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini India.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Kazaura afariki dunia akitibiwa India

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura amefariki dunia juzi, Chenai, India alikokwenda kwa ajili ya matibabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwili wa Balozi Kazaura kuwasili nchini leo

Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura (74), unatarajiwa kuwasili nchini leo ukitokea Chennai, India alikokwenda kwa matibabu ya saratani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani