Wanaume wanaonyanyaswa wamesahaulika Katiba Mpya
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiendelea na mchakato wa kupitia Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya, hakuna sheria inayotaja haki ya mwanamume. Pamoja na Tanzania kuwa nchi inayojali sheria za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
‘Wanaume wanaonyanyaswa na wake zao watoe taarifa’
SERIKALI imewataka wanaume kutoona haya na kufika kwenye madawati ya kijinsia yaliyopo katika vituo vya polisi nchini kutoa taarifa wanapofanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini...
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
11 years ago
GPLWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
11 years ago
MichuziWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
10 years ago
Mwananchi19 Apr
KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya
10 years ago
Mwananchi03 May
MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Thomas Karume: Vijana wamesahaulika mikoani
HISTORIA ya Tanzania katika mchezo wa soka kwa timu ya taifa, Taifa Stars, kufikia katika kilele cha mafanikio, ni mwaka 1980, pale ilipofanikiwa kucheza fainali za Kombe la Mataifa Afrika...
10 years ago
StarTV01 Apr
Katiba inayopendekezwa, Wanaume Serengeti Mara wataka kutambuliwa
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wanaume katika Vijiji vya Sing’isi, Isenye na Harara wilayani Serengeti mkoani Mara wamehoji sababu za kutokutambuliwa kwao katika Katiba inayopendekezwa kama ilivyo kwa makundi mengine yakiwemo ya watoto, wanawake na walemavu.
Mjadala umejitokeza wakati ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imeteua taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Katiba pendekezwa kabla ya zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka...
5 years ago
BBCSwahili15 May
Kwa nini watu wanaonyanyaswa hawawaachi wapenzi wao?