Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE 2 WATAJWA KUVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA

STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ameanika ukweli kuhusu uhusiano wake na aliyekuwa mchumba wake Malick Bandawe baada ya kuwagundua wanawake wawili aliozaa nao mbali na yeye. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose aliamua kufungasha virago vyake na kurudi kwa mama yake mzazi maeneo ya Kigogo baada ya kugundua kwamba mchumba’ake huyo alizaa na wanawake wawili tofauti na yeye ambaye ni wa tatu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BATULI: SIJAVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA

Stori: RHODA JOSIAH
MSANII wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameshangazwa na madai kuwa, anahusika kuvunjika kwa uchumba wa msanii mwenzake Rose Ndauka na kueleza kuwa hayo ni maneno ya watu wasiomtakia mema. Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kufuatia madai hayo, Batuli alisema hajawahi kuwa na uhusiano wowote na bwana wa Rose (Malick) na...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASEMA UCHUMBA WAKE NGANGARI

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI nyota wa filamu, Rose Ndauka ameibuka na kukanusha vikali uvumi uliozagaa kuwa uchumba wake na Malick Bandawe umevunjika na kusema siyo kweli kwani bado upo ngangari kuliko kawaida. Mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Rose Ndauka akipopzi. Akistorisha na gazeti hili juzikati, mwigizaji huyo anayeishi na mchumba wake huyo, alisema uvumi huo hauna msingi kwa sababu asubuhi ya siku hiyo (Jumatatu)...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

9 years ago

Global Publishers

Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida

IMG_20151212_185836Khadija Shaibu ‘Dida’.

Imelda Mtema
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye hakutaka kumuanika.

Habari kutoka kwa chanzo chetu makini zilieleza kwamba, pedeshee huyo amekuwa akimpa Dida vitisho kuwa mwanaume ambaye atamuoa hatakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake hivyo anaamini yeye ndiye anayeweza kumpa chochote anachotaka na si...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!

BRIGHTON MASALU
MAHABA niue! Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’ wamenaswa ‘laivu’ wakiwa katika mapozi ya kimahaba mazito jambo lililozua minong’ono miongoni mwa wengi. Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’. Tukio hilo...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua, kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri. Rose alisema, kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mkono mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya mtu azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. “Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani