Wanawake 280 wajitokeza kupima vvu kwa hiari
WANAWAKE 280 katika kijiji cha Lundusi kata ya Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma wanahitaji huduma ya kupimwa kwa hiari virusi vya ukimwi ili kutambua afya zao. Wanawake hao wametoa ombi la kutaka kupimwa virusi vya UKIMWI kwa hiari baada ya kupata elimu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yaliyoendeshwa na shirika la maendeleo ya wanawake Ruvuma RUWODA. Mafunzo hayo yamefanyika kwa wiki moja katika vitongoji vya Ringa,Lundusi,Dodoma na Kiburungi...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 May
‘Wanaume wahofia kupima VVU’
KAMATI ya Ukimwi ya Halmashauri ya Kibaha Mji, mkoani Pwani, imesema bado kuna kikwazo kwa wanaume hususan walio kwenye ndoa kujitokeza kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) na badala yake wanategemea majibu...
11 years ago
MichuziMAMIA YA WANANCHI SOMANGA KILWA WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BURE,KAYA 70 ZAJIUNGA NA CHF PAPO KWA PAPO WAKIPOKEA MWENGE WA UHURU
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Maradhi ya njia ya mkojo yenye kuchochea VVU kwa wanawake
10 years ago
MichuziWANAMICHEZO , WANANCHI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BANDA LA NHIF UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
MAMIA ya wanamichezo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kupima afya zao.
NHIF Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Makao makuu , wanaendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo wa Shimiwi sambamba na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kutoa huduma kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla.
Zoezi hilo lililoanza Septemba 27, mwaka huu na litaendelea...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-txWbMM1gV6s/VHZ_HvMosbI/AAAAAAAGzrk/Le-j08tlGT0/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
KUPIMA VVU NDIO MPANGO MZIMA-LINDA GOLI LAKO29th NOV, 2014 is the HIV Testing Day for Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-txWbMM1gV6s/VHZ_HvMosbI/AAAAAAAGzrk/Le-j08tlGT0/s1600/unnamed%2B(23).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NKeq8Klimq0/VHZ_Pp6jX5I/AAAAAAAGzrs/2YCjbEt5jiQ/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
In Tanzania, sixty-two percent (62) of women and 47 percent of men have ever been tested and received the results of their HIV test according to the THMIS 2011/12. The results lead to a gap of 53% for...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Gw6qeKR6gFQ/Xk5VvHKPidI/AAAAAAAAIIA/vbQIXM95e688RT_3rgWlw6FAEIX6Mf5mwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200220_123924_659.jpg)
SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.
Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...
11 years ago
Habarileo08 Jun
JK ahimiza wanawake kujitokeza kupima saratani
SERIKALI imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini.
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Wanawake wapewa ushauri wa kupima afya
WANAWAKE wametakiwa kujenga mazoea ya kupima saratani ya shingo ya kizazi mapema ili waweze kupata tiba iwapo watagundulika kuwa na dalili za ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili Dk...