Wanawake wapewa ushauri wa kupima afya
WANAWAKE wametakiwa kujenga mazoea ya kupima saratani ya shingo ya kizazi mapema ili waweze kupata tiba iwapo watagundulika kuwa na dalili za ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili Dk...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
11 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Vijana wapewa ushauri wa kibiashara
VIJANA wa Tanzania wametakiwa kuwekeza katika mikoa mbalimbali hususani Lindi na Mtwara ili kuepusha msongamano katika jiji la Dar es Salaam. Hayo yamezungumzwa jana na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya...
11 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Wazazi Tanga wapewa ushauri
WAZAZI wametakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni ikiwa ni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuweza kuthibiti utoro. Akizungumza juzi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Haki na Ulinzi...
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wapewa ushauri wa Katiba mpya
SERIKALI mkoani Kagera imewashauri viongozi wa kidini na kisiasa kulitazama suala la Katiba mpya kwa maslahi ya nchi na si kwa maslahi ya mtu binafsi na vyama fulani ili kuepuka kuwapoteza wananchi ambao wameanza kukosa mwelekeo.
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Watanzania waaswa kupima afya
WATANZANIA wametakiwa kuwajibika kwa ajili ya afya zao kwa kwenda hospitali kupima mara kwa mara. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam jana na Dk. Amyn Alidina, mtaalamu wa saratani katika Hospitali ya Aga Khan, alipokuwa...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Watanzania wahimizwa kupima afya
11 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...