Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa

Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wanamtaka Papa Francis abadilishe sheria kuwaruhusu viongozi hao wa dini kuoa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kanisa- Ni kawaida mapadre kuoa

KANISA Katoliki nchini limesema suala la kuoa au kutooa kwa makasisi ndani ya kanisa hilo, si jambo la ajabu kwa kuwa kanisa hilo maeneo ya Mashariki mwa dunia, makasisi (mapadri) wake wanaoa na Magharibi ikiwemo Tanzania, wamechagua kutooa.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Anatoly Salawa alipozungumzia kauli ya Kiongozi wa Kanisa hilo duniani, Papa Francis kuwa huenda kanisa hilo likaruhusu makasisi kuoa.

“Kanisa...

 

10 years ago

GPL

WAUMINI: MAPADRI WARUHUSIWE KUOA

Mwandishi wetu
Mpasuko! Kufuatia kuibuka wimbi la kashfa za ngono zinazowagusa waseja wa daraja la upadri duniani, baadhi ya waumini wa madhehebu mbalimbali yakiwemo Katoliki na Anglikana, wameibuka na kudai kuwepo kwa marekebisho ya sheria ya makanisa hayo yanayoruhusu watumishi hao kuoa kwani kwa sasa wanayaaibisha, jambo ambalo linaharibu imani juu ya Ukristo. Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. NINI KIMETOKEA?
Hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Geita wataka katiba ijayo wajali

WAKATI taifa likiwa kwenye sintofahamu juu ya mchakato wa katiba mpya, wanawake wilayani Geita mkoani hapa wameitaka katiba ijayo kuweka sheria za kujali wanawake, wajane na walemavu. Wito huo ulitolewa...

 

9 years ago

Habarileo

Wanawake wataka nafasi zaidi kwenye uwaziri

BAADA ya Awamu ya Tano ya Uongozi wa nchi kushuhudia wanawake wakiweka historia kushika nafasi ya Makamu wa Rais na Naibu Spika, asasi ya Mtandao wa Wanawake na Katiba, imezitaka mamlaka za uteuzi, akiwemo Rais John Magufuli kuteua wanawake katika nafasi za uwaziri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wataka huduma za jamii zipewe kipaumbele

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mjini Dodoma, ambapo wajumbe watajadili hoja mbalimbali. Kama zitapita, zitarudishwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni na kuwa sheria za nchi (Katiba)....

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wataka hamisini kwa hamsini Katiba Mpya ijayo

PIX 3

Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika jana 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.

Katika juhudi za kuleta usawa wa kijinsia na kuinua hadhi ya wanawake, Serikali imefanya jitihada kubwa katika masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Guteres aomba wakimbizi waruhusiwe Ulaya

Kamishna wa Umoja wa Mataifa ameyaomba mataifa ya Ulaya kuwakubali wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Syria, Iraq na Afghanistan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je watoto waruhusiwe kifo cha huruma?

Bunge la Ubelgiji linatarajiwa kupigia kura mswada utakaowezesha watoto walio na ugonjwa usiotibika wakubaliwe kufa kifo cha huruma au 'Euthanasia'. Nini maoni yako?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani