WAUMINI: MAPADRI WARUHUSIWE KUOA
![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbgGV7xx1vokK5-1qYPAaFqg0qveKbkLdiCBJkrfjf7yZ-cu0*WZ7hT*t4-gcGlm4cnHz0vSlD*0FUuz1gRCUA2v/FRONTJUMAMOSIghdvddhy.gif?width=650)
Mwandishi wetu Mpasuko! Kufuatia kuibuka wimbi la kashfa za ngono zinazowagusa waseja wa daraja la upadri duniani, baadhi ya waumini wa madhehebu mbalimbali yakiwemo Katoliki na Anglikana, wameibuka na kudai kuwepo kwa marekebisho ya sheria ya makanisa hayo yanayoruhusu watumishi hao kuoa kwani kwa sasa wanayaaibisha, jambo ambalo linaharibu imani juu ya Ukristo. Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. NINI KIMETOKEA? Hayo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mapadri walioamua kuoa
11 years ago
BBCSwahili19 May
Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Je watoto waruhusiwe kifo cha huruma?
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Guteres aomba wakimbizi waruhusiwe Ulaya
11 years ago
Habarileo21 Jun
Mashehe, mapadri waionya NEC
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza mpango wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura ili kuruhusu Watanzania wenye sifa kujiandikisha upya, viongozi wa dini nchini wameitaka tume hiyo kubadilisha pia siku ya kupiga kura, kutoka siku ya Jumapili ambayo huwa ya ibada hadi siku ya katikati ya wiki.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MoQW6swxykVHlWFg3*zPG7Cjm5r9VksUctcCtAeU5RaboEjPUrdq8Rl0hSnGvtGPMPy-QEfvGGZ4cGXOOY0DeetNVWLhDp6L/Mwalimukambarage.jpg?width=650)
WAGOMBEA CCM WARUHUSIWE KUPITAPITA ILI WAPIMWE
11 years ago
BBCSwahili27 May
Papa ashutumu mapadri walawiti Kanisani
10 years ago
Habarileo28 Oct
'Mapadri tumieni busara hofu ya ebola'
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limewataka maparoko kuangalia ni namna gani nzuri waumini wao wanaweza kutakiana amani, kutokana na hofu ya homa kali ya ebola, iliyojengeka miongoni mwa waumini wa kanisa hilo, hasa wa Kanda ya Ziwa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oiRF4v-c03Zm5acxizplgdFaVgEwLXZzQ51JXOdOtFTwuraqyq6-*vpq3ss8Tl3BXD4bERt*11IViDY5oqUl3N/kweliiikabisa.jpg)
‘MAPADRI KANISA KATOLIKI WAOE’