Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGOMBEA CCM WARUHUSIWE KUPITAPITA ILI WAPIMWE

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Leo tunakutana tena nikiamini kwamba wasomaji wote wa safu hii hamjambo, Mungu azidi kutuongoza katika njia ya kweli. Ni marufuku kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kujitangaza kugombea nafasi yoyote ya uongozi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Huo ndiyo mwongozi wa chama tawala ambao nitauchambua hapa. Ukweli ni kwamba idadi ya wanaotaka kugombea nafasi ya urais inaongezeka siku hadi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TCIB: Wagombea uchaguzi wapimwe afya

Kituo cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kubadilisha mfumo wa uendeshaji Uchaguzi Mkuu ikiwamo kuweka kipengele kitakachowalazimisha wagombea wa nafasi za uongozi kupima afya zao ili kuepuka kuchaguliwa viongozi wenye maradhi yatakayowafanya washindwe kumudu majukumu yao ya kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaobeza mafanikio ya CCM wapimwe akili

MKUU wa Wilaya ya Rombo, Lebris Kipuyo amesema mtu ambaye anasema CCM haijafanya chochote ana matatizo ya akili na anatakiwa kufikishwa katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Mirembe kupima akili yake.

 

10 years ago

GPL

WAUMINI: MAPADRI WARUHUSIWE KUOA

Mwandishi wetu
Mpasuko! Kufuatia kuibuka wimbi la kashfa za ngono zinazowagusa waseja wa daraja la upadri duniani, baadhi ya waumini wa madhehebu mbalimbali yakiwemo Katoliki na Anglikana, wameibuka na kudai kuwepo kwa marekebisho ya sheria ya makanisa hayo yanayoruhusu watumishi hao kuoa kwani kwa sasa wanayaaibisha, jambo ambalo linaharibu imani juu ya Ukristo. Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. NINI KIMETOKEA?
Hayo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je watoto waruhusiwe kifo cha huruma?

Bunge la Ubelgiji linatarajiwa kupigia kura mswada utakaowezesha watoto walio na ugonjwa usiotibika wakubaliwe kufa kifo cha huruma au 'Euthanasia'. Nini maoni yako?

 

9 years ago

BBCSwahili

Guteres aomba wakimbizi waruhusiwe Ulaya

Kamishna wa Umoja wa Mataifa ameyaomba mataifa ya Ulaya kuwakubali wakimbizi wanaokimbia mapigano nchini Syria, Iraq na Afghanistan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa

Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wanamtaka Papa Francis abadilishe sheria kuwaruhusu viongozi hao wa dini kuoa.

 

10 years ago

Vijimambo

Wagombea kundi la kifo CCM

Dar es Salaam. Baada ya makada kumaliza kurejesha fomu za kuomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM jana, macho sasa yanaelekezwa kwenye vikao vya juu vya chama hicho vitakavyotoa majina yasiyozidi matano yatakayokwenda kupigiwa kura na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 11 na 12.CCM imeshatangaza kuwa itatumia vigezo 13 ilivyojiwekea kuwachambua wagombea 41 waliochukua na kurejesha fomu ili kupata majina ya wachache watakaopigiwa kura na mkutano huo mkuu, lakini Kamati ya Wazee, ambayo itatoa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM inavyojikwaa kupata wagombea

>Uongozi ni dhamana, ni jukumu zito, mtu hupewa uongozi na watu. Uongozi hautafutwi kwa udi na uvumba.

 

10 years ago

Mtanzania

JK:Ole wao wagombea CCM

Pg 1SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani