JK:Ole wao wagombea CCM
SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Lowassa: Ole wao
NA MAREGESI PAUL, KAHAMA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewaonya viongozi watakaowanyanyasa wamachinga, mama ntilie na waendesha bodaboda baada ya yeye kuingia madarakani.
Amesema pamoja na kwamba Serikali yake itamjali kila Mtanzania, makundi hayo matatu ni marafiki zake na anajua umuhimu wao katika kukuza uchumi wa taifa.
Kutokana na hali hiyo, amesema hatasita kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa Serikali atakayeyanyanyasa makundi hayo kwa...
10 years ago
Habarileo12 Sep
‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
SIASA: ‘Ole wao wanaotumia Katiba kwa uchaguzi’
9 years ago
Mwananchi17 Dec
January awatwisha mzigo watendaji , aonya ole wao!
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Kibanda: Ole wao wanaochafua magazeti ya MTANZANIA, RAI
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, RAI, Bingwa Dimba na The African, imelaani vikali, uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na watu wasio na nia njema na kampuni
hiyo.
Jana watu hao wasio na nia njema na kampuni hiyo, hasa magazeti ya MTANZANIA na RAI, walitengeneza mfano wa magazeti hayo kisha kuyaweka kwenye mitandao ya kijamii, yakiwa na taarifa mbalimbali za uongo na uzushi.
Akizungumzia hali hiyo jijini Dar es Salaam...
9 years ago
MichuziUKAWA WATAJA MAJIMBO WATAYOSIMAMISHA WAGOMBEA WAO
9 years ago
StarTV23 Oct
Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao
Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.
Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea katika kuchochea mabadiliko.
Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Ole! CCM ‘wajinga’ wakierevuka …
ZIPO methali nyingi tulizoachiwa na wahenga (wazee wa zamani waliokuwa na busara na hekima). Laiti viongozi wetu wangetumia muda wakati wa mapumziko yao kudurusu methali za wahenga, hapana shaka wangejielewa...
10 years ago
MichuziWENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA