Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweNAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu

Wanasayansi wanaokabiliana na janga la Ebola nchini Guinea wanasema kwamba virusi vianvyosababisha Ebola vimeanza kuwa sugu hali ambayo inaifanya vigumu kutibu ugonjwa wa Ebola.

 

9 years ago

Michuzi

MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI KATIKA KUTIBU CHUNUSI SUGU

Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumizi Wadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI WA UNGA kwa kupaka angalau mara moja kwa siku. ASALI na MDALASINI zinasaidia kuponyesha kwasababu zina tabia za ANTI-BACTERIAL( zinaua na kuzuia mazalia ya bacteria) Jinsi ya kufanya:-
1. Chukua vijiko vitatu(3) vya chai vya ASALI 2. Chukua nusu kijiko cha chai cha MDALASINI WA UNGA safi 3....

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama kubwa kutibu magonjwa yasiyoambukiza ni tiketi ya kifo

>Kuishi ni jambo moja. Kuishi maisha yenye afya njema ni kitu kingine.

 

10 years ago

Dewji Blog

Magonjwa sugu ya Ini na upandikizaji

Dr.anand khakhar_op swa+1

Apollo Liver Swahili Article Final 17 March 15 by moblog

 

10 years ago

Habarileo

Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu

Rais Jakaya Kikwete.SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.

 

5 years ago

Michuzi

WENYE MAGONJWA SUGU HUATHIRIKA ZAIDI NA COVID -19


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa sugu kuchukua tahadhari zaidi hasa kwa kupima afya na kufuata ushauri wa wataalamu katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya  Corona (Covid -19.) ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika watu 32 na vifo vitatu.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Ndugulile amechapisha taarifa iliyoeleza kuwa mtu mwenye magonjwa sugu ikiwemo kisukari, shinikizo la damu, pumu, ...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Ole wao

mtz1NA MAREGESI PAUL, KAHAMA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewaonya viongozi watakaowanyanyasa wamachinga, mama ntilie na waendesha bodaboda baada ya yeye kuingia madarakani.

Amesema pamoja na kwamba Serikali yake itamjali kila Mtanzania, makundi hayo matatu ni marafiki zake na anajua umuhimu wao katika kukuza uchumi wa taifa.

Kutokana na hali hiyo, amesema hatasita kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa Serikali atakayeyanyanyasa makundi hayo kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

JK:Ole wao wagombea CCM

Pg 1SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO


 Na Mbaraka Kambona, Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani