MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI KATIKA KUTIBU CHUNUSI SUGU
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y61k1BZ_92E/VfZ8mhPEvZI/AAAAAAAAT3I/n1I02EQB9eQ/s72-c/chunusi.jpg)
Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumizi
Wadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI WA UNGA kwa kupaka angalau mara moja kwa siku. ASALI na MDALASINI zinasaidia kuponyesha kwasababu zina tabia za ANTI-BACTERIAL( zinaua na kuzuia mazalia ya bacteria) Jinsi ya kufanya:-
1. Chukua vijiko vitatu(3) vya chai vya ASALI 2. Chukua nusu kijiko cha chai cha MDALASINI WA UNGA safi 3....
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 May
Virusi vya corona: Madaktari wataja mchanganyiko wa dawa unaoweza kutibu Covid-19
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Hofu ya Ebola kuwa sugu kutibu
10 years ago
Habarileo12 Sep
‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K99tczx_LQM/default.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAJASIRIMALI WA ASALI KATIKA VIWANJA VYA M.J NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
CCM BlogSIKONGE YAAGIZWA IANZE KUTIBU WANANCHI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YAKE
Kauli hiyo imeolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Peres Magiri wakati akitoa salamu za Serikali katika Kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya tatu
Alisema wakati wakiendelea kusubiri vifaa tiba na vifaa vingine kwa ajili ya Hospitali hiyo ya Wilaya ni vema wakaanza na utoaji wa huduma za matibabu kwa...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Mdalasini husaidia kulinda meno, fizi dhidi ya bakteria
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-8VHboO2Jrc8/VJse_aonvSI/AAAAAAAAEj8/lmjpjvA_QWc/s72-c/Faiza%2BAlly.jpg)
ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8VHboO2Jrc8/VJse_aonvSI/AAAAAAAAEj8/lmjpjvA_QWc/s640/Faiza%2BAlly.jpg)
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”
![](http://4.bp.blogspot.com/-C13XujLAcN0/VJsfJQE-s5I/AAAAAAAAEkE/MCRdlC88XGs/s640/Faiza%2BAlly2.jpg)