WENYE MAGONJWA SUGU HUATHIRIKA ZAIDI NA COVID -19

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa sugu kuchukua tahadhari zaidi hasa kwa kupima afya na kufuata ushauri wa wataalamu katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19.) ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika watu 32 na vifo vitatu.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Ndugulile amechapisha taarifa iliyoeleza kuwa mtu mwenye magonjwa sugu ikiwemo kisukari, shinikizo la damu, pumu, ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
11 years ago
Habarileo12 Sep
‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu
SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
RC Dar ashiriki kampeni maalum ya kuwachangia wanahabari wanaosumbuliwa na magonjwa sugu
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda akiongeza na washiriki katika tukio la kuchangia mfuko kwa ajili ya wanahabari wanaougua magonjwa sugu hasa saratani ambapo alisema kuwa wamiliki wa vyombo vya habari hawana budi kuwajali wanahabari na kuwapatia huduma muhimu ikiwemo Mikataba ya Kazi pamoja na Bima za matibabu ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi na uadilifu, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. kulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick na Kushoto ni...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.
Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...
10 years ago
Michuzi
Watanzania waaswa kujitokeza katika harambee ya kuchangia wanahabari wanaosumbuliwa na magonjwa sugu

10 years ago
BBCSwahili19 Feb
WHO:Magonjwa ya Kitropiki hatari zaidi
10 years ago
Dewji Blog25 May
Upasuaji wenye madhara madogo, hatua mpya kwa matibabu ya magonjwa ya mishipa ya Moyo
Ugonjwa wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea wakati mishipa ya ateri inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo inapokakamaa na kuwa nyembamba. Hii ni kwa sababu ya kujengeka kwa kolesteroli na vitu vingine kama utando kwenye kuta za ndani ya moyo. Kujijenga huku kisayansi hujulikana kama ‘atherosclerosis’. Kujengeka kwake kunapoongezeka kunapunguza mtiririko wa damu kwenye atiri,...
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Mashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu — NEC
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini, wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Prof. Amone Chaligha.
Na MatukiodaimaBlog, Ludewa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura ...