Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Dar ashiriki kampeni maalum ya kuwachangia wanahabari wanaosumbuliwa na magonjwa sugu

1

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda akiongeza na washiriki katika tukio la kuchangia mfuko kwa ajili ya wanahabari wanaougua magonjwa sugu hasa saratani ambapo alisema kuwa wamiliki wa vyombo vya habari hawana budi kuwajali wanahabari na kuwapatia huduma muhimu ikiwemo Mikataba ya Kazi pamoja na Bima za matibabu ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi na uadilifu, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. kulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick na Kushoto ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kujitokeza katika harambee ya kuchangia wanahabari wanaosumbuliwa na magonjwa sugu

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya kuratibu Harambee ya kuwachangia waandishi wa habari wanaougua maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa sugu wa saratani Bw. Benjamin Thompson Kasenyenda akitoa wito kwa watanzania wote wenye mapenzi mema kujitokeza kwa wingi kushiriki katika harambee hiyo itakayofanyika katika viwanja vya Leaders club,siku ya Jumamosi Julai 4,2015 wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magonjwa sugu ya Ini na upandikizaji

Dr.anand khakhar_op swa+1

Apollo Liver Swahili Article Final 17 March 15 by moblog

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM JUU YA KUTIWA MBARONI KWA WATUHUMIWA SUGU WA KUPORA RAIA WA KIGENI NA AKINA MAMA

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. SAID MECK SADICK ASHIRIKI KAMPENI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO




Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadick akizindua kampeni ya kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani ( MEDIA CAR WASH FOR CANCER). Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Nd.Assah Mwambene akikabidhi kiasi cha fedha kwa Mmoja wa Waratibu wa MEDIA CAR WASH FOR CANCER Bwa.Benjamin Thomson,zilizochangwa na Idara hiyo kupitia chama chao cha Maofisa Habari wa Serikali...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu

Rais Jakaya Kikwete.SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.

 

5 years ago

Michuzi

WENYE MAGONJWA SUGU HUATHIRIKA ZAIDI NA COVID -19


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa sugu kuchukua tahadhari zaidi hasa kwa kupima afya na kufuata ushauri wa wataalamu katika kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya  Corona (Covid -19.) ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika watu 32 na vifo vitatu.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Ndugulile amechapisha taarifa iliyoeleza kuwa mtu mwenye magonjwa sugu ikiwemo kisukari, shinikizo la damu, pumu, ...

 

11 years ago

Habarileo

‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweNAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari wapewa semina kuhusu magonjwa yasiyoambukiza

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA).

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza jambo Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani