Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Ole wao

mtz1NA MAREGESI PAUL, KAHAMA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewaonya viongozi watakaowanyanyasa wamachinga, mama ntilie na waendesha bodaboda baada ya yeye kuingia madarakani.

Amesema pamoja na kwamba Serikali yake itamjali kila Mtanzania, makundi hayo matatu ni marafiki zake na anajua umuhimu wao katika kukuza uchumi wa taifa.

Kutokana na hali hiyo, amesema hatasita kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa Serikali atakayeyanyanyasa makundi hayo kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

JK:Ole wao wagombea CCM

Pg 1SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen KebweNAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

January awatwisha mzigo watendaji , aonya ole wao!

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amewatwisha mzigo watumishi wa wizara hiyo anaotaka waufanyie kazi haraka, ikiwamo kuangalia uanzishwaji wa mpango wa kusafisha mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi na bomoa bomoa ya nyumba kando ya mito ya Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

SIASA: ‘Ole wao wanaotumia Katiba kwa uchaguzi’

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanasiasa wanaodhani kuwa wanaweza kuitumia Katiba Mpya kama ajenda yao kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani, wanajidanganya .

 

9 years ago

Mtanzania

Kibanda: Ole wao wanaochafua magazeti ya MTANZANIA, RAI

Absalom Kibanda (from Kibanda)croppedNA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, RAI, Bingwa Dimba na The African, imelaani vikali, uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na watu wasio na nia njema na kampuni
hiyo.

Jana watu hao wasio na nia njema na kampuni hiyo, hasa magazeti ya MTANZANIA na RAI, walitengeneza mfano wa magazeti hayo kisha kuyaweka kwenye mitandao ya kijamii, yakiwa na taarifa mbalimbali za uongo na uzushi.

Akizungumzia hali hiyo jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Warioba; tusiwe kama wao kwani wao sio sisi

MOJAWAPO ya vitu ambavyo naviogopa sana ninapotafakari hatima ya taifa letu huko mbeleni ni uwezekano kuwa tunaweza kubadilisha watawala bila kubadilisha utawala. Lugha ya kisiasa nchini imebadilika sana kiasi kwamba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao

Ripoti inasema kuwa asilimia 61 ya wanawake waliuawa na wanaume au waliuliwa na wapenzi wao wa sasa au wa zamani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani