January awatwisha mzigo watendaji , aonya ole wao!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amewatwisha mzigo watumishi wa wizara hiyo anaotaka waufanyie kazi haraka, ikiwamo kuangalia uanzishwaji wa mpango wa kusafisha mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi na bomoa bomoa ya nyumba kando ya mito ya Jiji la Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Kerr awatwisha mzigo washambuliaji Simba
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--R642qviMew/XlXsgHSq6-I/AAAAAAAAf2Q/gt_LhHbDLGUj0KwJcwOIsX_4YyDwOvEVQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200226-WA0004.jpg)
DKT NCHIMBI AWATWISHA MZIGO TBS NA SIDO
![](https://1.bp.blogspot.com/--R642qviMew/XlXsgHSq6-I/AAAAAAAAf2Q/gt_LhHbDLGUj0KwJcwOIsX_4YyDwOvEVQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200226-WA0004.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi
Na John Mapepele
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amelielekeza Shirika la Viwango nchini (TBS) na Shirika la Viwanda Vidogo nchini (SIDO) kuanzisha mara moja operesheni maalum ya kuwatafuta wamiliki wa viwanda na wazalishaji wakubwa wa mafuta ya alizeti katika Mkoa wa Singida.
Lengo kubwa ni kukagua viwango vya mafuta hayo na kuwaelimisha ili kuhakikisha ubora wa mafuta hayo yaweze kuingia kwenye masoko ya kimataifa hatimaye...
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Ole wenu Yanga, aonya Julio
10 years ago
Habarileo11 May
Nyalandu aonya watendaji Maliasili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewaonya watendaji wa wizara yake wanaojifanya miunguwatu na kushindwa kufuata taratibu za kazi na kunyanyasa wananchi, kuwa atawaondoa mchana kweupe.
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Lowassa: Ole wao
NA MAREGESI PAUL, KAHAMA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewaonya viongozi watakaowanyanyasa wamachinga, mama ntilie na waendesha bodaboda baada ya yeye kuingia madarakani.
Amesema pamoja na kwamba Serikali yake itamjali kila Mtanzania, makundi hayo matatu ni marafiki zake na anajua umuhimu wao katika kukuza uchumi wa taifa.
Kutokana na hali hiyo, amesema hatasita kumchukulia hatua kiongozi yeyote wa Serikali atakayeyanyanyasa makundi hayo kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Washangaa mbunge wao kuitwa ‘mzigo’
WANANCHI wilayani Ulanga, Morogoro, wamekuja juu kutokana na mbunge wao, Celina Kombani, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, kuhusishwa kuwa ni mmoja...
10 years ago
Mtanzania02 Feb
JK:Ole wao wagombea CCM
SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...
10 years ago
Habarileo12 Sep
‘Ole wao wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu’
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe ametaka watu wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kutibu, kuponya magonjwa sugu kuacha kufanya hivyo.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
SIASA: ‘Ole wao wanaotumia Katiba kwa uchaguzi’