Nyalandu aonya watendaji Maliasili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewaonya watendaji wa wizara yake wanaojifanya miunguwatu na kushindwa kufuata taratibu za kazi na kunyanyasa wananchi, kuwa atawaondoa mchana kweupe.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Lembeli ‘alia’ na watendaji Maliasili
>Mbunge wa Kahama, James Lembeli (CCM), ameapa kula sahani moja na watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii waliosababisha Serikali kuboronga katika Operesheni Tokomeza Ujangili.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Nyalandu apangua wakurugenzi Maliasili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewaondoa katika nyadhifa zao, Wakurugenzi mbalimbali kwa sababu zilizoelezwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Nyalandu aonya nchi kugeuka jangwa
>Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu ameonya kuwa, kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na uharibifu wa mazingira, kuna hatari ya nchi kugeuka kuwa jangwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo kutokana na kasi ya ukataji miti.
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Lazaro Nyalandu: Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu alizaliwa Agosti 18, 1970 mkoani Singida, hivyo atafikisha miaka 45 Agosti mwaka huu. Kwa sasa yeye ni Waziri wa Maliasili na Utalii.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
January awatwisha mzigo watendaji , aonya ole wao!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amewatwisha mzigo watumishi wa wizara hiyo anaotaka waufanyie kazi haraka, ikiwamo kuangalia uanzishwaji wa mpango wa kusafisha mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi na bomoa bomoa ya nyumba kando ya mito ya Jiji la Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Kamati ya Bunge yataka watendaji Maliasili wang’olewe
>Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imependekeza watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwemo Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexanda Songorwa, kuwajibishwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa kuhujumu Operesheni Tokomeza Ujangili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2Rndz8mwXJFdrBJbEf9emh52dsl4EBJRyaLLckwPFpW2WXAIpVYOaGsKPMOeKTaLY2hSu5MajTe8PUeYtBU6Fas/1.jpg?width=650)
NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII
Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokea vifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous .… ...
11 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipokutana na baadhi aya madiwani wa Loliondo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania