Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu aonya nchi kugeuka jangwa

>Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu ameonya kuwa, kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na uharibifu wa mazingira, kuna hatari ya nchi kugeuka kuwa jangwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo kutokana na kasi ya ukataji miti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mpwapwa kugeuka jangwa?

WILAYA ya Mpwapwa iko hatarini kugeuka jangwa, kutokana na wananchi wanaojihusisha na kilimo katika wilaya hiyo kukosa mbinu za kilimo cha kuhifadhi mazingira.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiteto hatarini kugeuka jangwa

Kiteto ni moja ya wilaya tano za Mkoa wa Manyara, ambayo miaka 10 tu iliyopita ilikuwa ni kati ya wilaya zilizokuwa na misitu katika maeneo mengi na hivyo kuwa na mvua za uhakika.

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu aonya watendaji Maliasili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewaonya watendaji wa wizara yake wanaojifanya miunguwatu na kushindwa kufuata taratibu za kazi na kunyanyasa wananchi, kuwa atawaondoa mchana kweupe.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua kongamano la Kimataifa la Sayansi kwa nchi za Afrika na Kusini mwa jangwa la Sahara, Jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa  Chuo cha Nelson Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu ukuzaji na uendelezaji wa Tafiti za Kisayansi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la sahara. (Picha na OMR).

Kongamano hilo la siku tatu limefanyika katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) Jijini Arusha  Agosti...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI ZA AFRIKA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, JIJINI ARUSHA

Kongamano hilo la siku tatu limefanyika katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) Jijini Arusha jana Agosti 5, 2014, na kushirikisha mabingwa mbalimbali wa tafiti ndani ya Afrika na nchi za ukanda wa Jangwa la Sahara.
Kongamano hilo ambalo limedhaminiwa na Shirika la misaada la Kimataifa la Marekani (USAID) linalenga kukuza tafiti za kisayansi na kutanua maendeleo ya tafiti hizo ili yasaidie wananchi wa nchi za ukanda huu hasa vijana ambao wanaelezwa kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wadau mbali mbali wakutana kutoa suluhisho la changamoto zinazoikabili sekta ya utalii katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara

Akizungumza  na waandishi wa habari katika mdahalo uliandaliwa na kampuni ya Hospitality Round Table (HRT),  ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Dr. ADELHELM MERU Katibu mkuu wizara ya Maliasili na Utalii alifafanua kuwa, sekta ya utalii hapa Tanzania inafanya vizuri ambapo kumekuwa na ongezeko la wageni kutoka nje, na hoteli za kufikia wageni zimeongezeka kwa kasi mara mbili kulinganisha na idadi ya  mwaka jana.

Alifafanua kuwa, pamoja na matumaini yanayoonekana katika sekta hii lakini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiapo hiki chaweza kugeuka laana

“MIMI……………niliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa Bunge Maalumu, naapa/ nathibitisha kwamba nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa kadiri ya uwezo na ufahamu wangu, nitatimiza wajibu wangu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maajabu ya Ndege kugeuka mtu Nigeria

Kisa cha kushangaza kilitokea nchini Nigeria ambapo mwanamke mmoja alipewa kichapo cha Mbwa hadi akafariki kwa madai ya uchawi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi TPDC washutumiwa kugeuka mawakala

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wameshutumiwa kufanya uwakala wa kuajiri wafanyakazi kwa niaba ya kampuni kubwa za meli zinazotafuta na kuchimba gesi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani