Kiapo hiki chaweza kugeuka laana
“MIMI……………niliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa Bunge Maalumu, naapa/ nathibitisha kwamba nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa kadiri ya uwezo na ufahamu wangu, nitatimiza wajibu wangu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Aug
Mpwapwa kugeuka jangwa?
WILAYA ya Mpwapwa iko hatarini kugeuka jangwa, kutokana na wananchi wanaojihusisha na kilimo katika wilaya hiyo kukosa mbinu za kilimo cha kuhifadhi mazingira.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Kiteto hatarini kugeuka jangwa
Kiteto ni moja ya wilaya tano za Mkoa wa Manyara, ambayo miaka 10 tu iliyopita ilikuwa ni kati ya wilaya zilizokuwa na misitu katika maeneo mengi na hivyo kuwa na mvua za uhakika.
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Nyalandu aonya nchi kugeuka jangwa
>Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu ameonya kuwa, kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na uharibifu wa mazingira, kuna hatari ya nchi kugeuka kuwa jangwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo kutokana na kasi ya ukataji miti.
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Wafanyakazi TPDC washutumiwa kugeuka mawakala
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wameshutumiwa kufanya uwakala wa kuajiri wafanyakazi kwa niaba ya kampuni kubwa za meli zinazotafuta na kuchimba gesi nchini.
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Maajabu ya Ndege kugeuka mtu Nigeria
Kisa cha kushangaza kilitokea nchini Nigeria ambapo mwanamke mmoja alipewa kichapo cha Mbwa hadi akafariki kwa madai ya uchawi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zYvUvcLXovClciEOKvCfOwtRmWRMmTyoNuodbzdFVnSVQ-QZa3p0Bt-Yvo6gAhz7Oe8nliYb9FDqWuiykaKJAKatcgNtPbOg/screen_shot_20130714_at_31535_pm13FDED39CE92B9201E2.png?width=650)
TATIZO LA KUGEUKA KWA KIZAZI (RETROVERTED UTERUS)
Tatizo hili pia huitwa ‘Tilted Uterus’ au ‘Tipped Uterus’, hapa kizazi hugeuka kwa nyuma. Hii ni tofauti katika hali ya kawaida ya kuangalia kwa mbele. ‘Anteverted’ ambayo wanawake wengi wapo hivyo, kizazi hulalia kibofu cha mkojo na upande wa mbele hujikunja kidogo. Kwa mujibu wa takwimu, mwanamke mmoja kati ya watatu au watano, wana aina hii ya kizazi kilichogeuka na wengine hugeuka...
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Mtei: Kwa nini Nyerere alikataa kugeuka jiwe
>Ni nadra siku hizi kuzungumzia nchi kufilisika kiasi cha kukosa uwezo wa kununua mahitaji yake mbalimbali na kutoa huduma kwa raia wake.
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Mtoto anayedaiwa kugeuka nyoka azua kizaazaa Geita
Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s72-c/mtoto.jpg)
MTOTO ANAYEDAIWA KUGEUKA NYOKA AYEZUA KIZAAZAA HUKO GEITA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s640/mtoto.jpg)
Mtoto huyo (jina lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani na nje ya Kanisa la AICT Nkome, lililopo kijiji hapo,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania