Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO LA KUGEUKA KWA KIZAZI (RETROVERTED UTERUS)

Tatizo hili pia huitwa ‘Tilted Uterus’ au ‘Tipped Uterus’, hapa kizazi hugeuka kwa nyuma. Hii ni tofauti katika hali ya kawaida ya kuangalia kwa mbele. ‘Anteverted’ ambayo wanawake wengi wapo hivyo, kizazi hulalia kibofu cha mkojo na upande wa mbele hujikunja kidogo.  Kwa mujibu wa takwimu, mwanamke mmoja kati ya watatu au watano, wana aina hii ya kizazi kilichogeuka na wengine hugeuka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KUSHUKA KWA KIZAZI ( PROLAPSED UTERUS)

Kizazi kimeshikiliwa vizuri sehemu yake kwenye nyonga na misuli, tishu na nyuzinyuzi ngumu ziitwazo ‘ligaments’ ambazo zimejishika kwenye mifupa ya nyonga kwa ujumla ili kuleta uimara. Viungo hivi vinaweza kupoteza uimara wake na kuwa dhaifu kutokana na uzazi au uzazi kuwa na shida. Tatizo hili pia linaweza kuwapata wanawake watu wazima waliofikia ukomo wa kuzaa au ambao kiwango cha vichocheo vya ‘estrogen’ vimepungua...

 

9 years ago

GPL

KUSHUKA KWA KIZAZI ( PROLAPSED UTERUS)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze nyingine.Niliishia pale ambapo nilisema kuwa, kupungua kwa homoni ya ‘Estrogen’ kunaweza tu kutokea kwa bahati mbaya au kutokana na matumizi ya muda mrefu ya dawa za homoni bila ya mpangilio maalum. Matatizo mengine yanayosababisha hali hii ni kama vile; Cystocele. Hii ni hali ambayo mwanamke anahisi uvimbe ukeni kwa ndani upande wa juu...

 

9 years ago

GPL

TATIZO LA ENDOMETRIOSIS (HITILAFU NDANI YA KIZAZI)

Karibu msomaji katika ukurasa huu ambao umekuwa ukikupa maarifa muhimu ya afya zetu. Leo tutaangalia tatizo la Endometriosis. Neno hili huenda ni mara ya kwanza kulisikia au umekuwa ukilisikia na huna ufahamu nalo vizuri. Kupitia makala haya utapata maarifa muhimu juu ya tatizo hilo. Kwanza huu ni ugonjwa unaowapata wanawake ambao unaambatana na magonjwa ya mfumo wa homoni na mfumo wa kinga ya mwili, ambapo seli na tishu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtei: Kwa nini Nyerere alikataa kugeuka jiwe

>Ni nadra siku hizi kuzungumzia nchi kufilisika kiasi cha kukosa uwezo wa kununua mahitaji yake mbalimbali na kutoa huduma kwa raia wake.

 

5 years ago

BBC

Forced sterilisation in South Africa: They removed my uterus

Bongekile Msibi is one of 48 women forcibly sterilised at state hospitals in South Africa.

 

11 years ago

GPL

KUONDOA KABISA KIZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME

KUNA njia ya kufanya watu wasiweze kuzaa au kutunga mimba kabisa katika maisha yao.
Hii kwa maneno mengine tunaweza kusema ndiyo njia pekee ya kudumu na uhakika ya kuzuia mimba.Vasectomy ni njia ya upasuaji mdogo inayoweza kumfanya mwanaume asiwe na uwezo wa kumpa mimba mwanamke.  Tubuligation ni njia ya kumfanya mwanamke asiwe na uwezo wa kushika mimba. Nji zote hizi hufanyika kwa njia ya upasuaji mdogo. Mwanaume...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Saratani ya kizazi, matiti tishio kwa wanawake 

IMEBAINIKA kuwa saratani ya kizazi na matiti imezidi kuwa tishio kwa wanawake nchini. Hayo yalibainishwa na Dk. Aldina Amyria wa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam alipofanya...

 

11 years ago

GPL

ATELEKEZWA NA MUMEWE KWA KUUGUA SARATANI YA KIZAZI

Stori: Haruni Sanchawa INASIKITISHA! Mama mmoja  mkazi Karagwe mkoani Kagera, Josephine Domisian (34) ametelekezwa na mumewe aitwaye Dominic baada  ya kupatwa na ugonjwa wa  saratani ya kizazi miaka mitatu iliyopita. Josephine Domisian akiwa katika Hospitali ya Ocean Road, jijini Dar akisumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya kizazi. Akizungumza kwa uchungu akiwa katika hospitali ya magonjwa ya Saratani ya Ocean Road,...

 

10 years ago

Habarileo

Mpwapwa kugeuka jangwa?

WILAYA ya Mpwapwa iko hatarini kugeuka jangwa, kutokana na wananchi wanaojihusisha na kilimo katika wilaya hiyo kukosa mbinu za kilimo cha kuhifadhi mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani