Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUSHUKA KWA KIZAZI ( PROLAPSED UTERUS)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze nyingine.Niliishia pale ambapo nilisema kuwa, kupungua kwa homoni ya ‘Estrogen’ kunaweza tu kutokea kwa bahati mbaya au kutokana na matumizi ya muda mrefu ya dawa za homoni bila ya mpangilio maalum. Matatizo mengine yanayosababisha hali hii ni kama vile; Cystocele. Hii ni hali ambayo mwanamke anahisi uvimbe ukeni kwa ndani upande wa juu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KUSHUKA KWA KIZAZI ( PROLAPSED UTERUS)

Kizazi kimeshikiliwa vizuri sehemu yake kwenye nyonga na misuli, tishu na nyuzinyuzi ngumu ziitwazo ‘ligaments’ ambazo zimejishika kwenye mifupa ya nyonga kwa ujumla ili kuleta uimara. Viungo hivi vinaweza kupoteza uimara wake na kuwa dhaifu kutokana na uzazi au uzazi kuwa na shida. Tatizo hili pia linaweza kuwapata wanawake watu wazima waliofikia ukomo wa kuzaa au ambao kiwango cha vichocheo vya ‘estrogen’ vimepungua...

 

9 years ago

GPL

TATIZO LA KUGEUKA KWA KIZAZI (RETROVERTED UTERUS)

Tatizo hili pia huitwa ‘Tilted Uterus’ au ‘Tipped Uterus’, hapa kizazi hugeuka kwa nyuma. Hii ni tofauti katika hali ya kawaida ya kuangalia kwa mbele. ‘Anteverted’ ambayo wanawake wengi wapo hivyo, kizazi hulalia kibofu cha mkojo na upande wa mbele hujikunja kidogo.  Kwa mujibu wa takwimu, mwanamke mmoja kati ya watatu au watano, wana aina hii ya kizazi kilichogeuka na wengine hugeuka...

 

5 years ago

BBC

Forced sterilisation in South Africa: They removed my uterus

Bongekile Msibi is one of 48 women forcibly sterilised at state hospitals in South Africa.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara View this document on Scribd

 

9 years ago

Bongo Movies

Kupanda na Kushuka kwa Shirikisho la Filamu

SHIRIKISHO la filamu Tanzania (TAFF) lipo kwa miaka kadhaa huku tukishuhudia changamoto nyingi zinazokabiri shirikisho hilo ambalo pamoja na kuanzishwa kwake ni chombo kisichotengeneza fedha kutokana na vyama vinavyounda TAFF kukosa miradi kama michango kutoka kwa wanachama wake.

Mwakifwamba

Rais wa Taff Mwakifwamba

Taff imekuwepo kitambo lakini imekuwa Lulu baada ya kuanzisha michakato yenye tija kwa wasanii na wadau husika kwa chombo hicho kilicho chini ya Rais wake Simon Mwakifwamba ambaye amefanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,kushuka kwa Yuan kutaathiri Afrika?

Masoko ya sarafu duniani yamewekwa katika hali mbaya kwa mara nyengine baada ya Uchina kuiruhusu thamani ya sarafu yake kushuka kwa siku ya pili mfululizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za kushuka kwa hadhi ya walimu nchini

Miaka ya nyuma ualimu ulikuwa unachukuliwa kama mojawapo ya taaluma zinazoheshimika nchiniMtu kuitwa mwalimu ilikuwa ni fahari na hadhi kubwa  katika jamii. Katika maeneo mengi nchini baadhi ya watu walifikia hatua ya kujulikana kwa jina la Mwalimu.

 

10 years ago

StarTV

Chanzo kushuka kwa thamani ya shilingi chabainishwa.

Na Ephrasia Mawalla,

Dar es Salaam.

 

 

Waziri Kivuli wa Fedha James Mbatia ameitaka Benki kuu ya Tanzania kuchukua hatua za haraka za kupunguza mzunguko wa Fedha za Kigeni hapa nchini kama njia mojawapo ya kuimarisha shilingi ya Tanzania.

 

Ndani ya kipindi cha mwezi mmoja, thamani ya shilingi imeshuka kwa asilimia 20, kiwango ambacho kwa mujibu wa Mbatia ni kikubwa.

 

Kwa sasa dola moja ni sawa na shilingi 2010 kutoka shilingi 1650.

 

Mbatia amesema kutokana na kuporomoka haraka kwa...

 

10 years ago

StarTV

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

comprar kamagra barato

Kushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.

Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani