Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ole! CCM ‘wajinga’ wakierevuka …

ZIPO methali nyingi tulizoachiwa na wahenga (wazee wa zamani waliokuwa na busara na hekima). Laiti viongozi wetu wangetumia muda wakati wa mapumziko yao kudurusu methali za wahenga, hapana shaka wangejielewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

JK:Ole wao wagombea CCM

Pg 1SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA JIMBO LA OLE ATIMKIA CCM NA ZAIDI YA WANACHAMA 564 KUMFUATA

  Juma Hamad Omari  ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ole, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF ameomba kujiunga na CCM na kujivua vyeo vyake vyote ndani ya CUF.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi-CCM, Mbunge huyo akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na   Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM


Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi aya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania sio wajinga

HIVI karibuni ilitolewa ripoti  ya chapisho la tatu kwenye taarifa za  kidemografia, kijamii na kiuchumi  ya sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2012. Ripoti hiyo ilieleza jinsi  maisha kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho:Madaktari wetu ni ''wajinga''

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amewashambulia madaktari wa timu yake kuwa ni 'wajinga'' kwa kumtibu Eden Hazard uwanjani Swansea ilipokuwa na mchezaji mmoja zaidi

 

11 years ago

Tanzania Daima

WANAOPINGA RASIMU YA KATIBA: Wajinga na mbumbumbu

HAKUNA shaka kwamba wajumbe walio wengi wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) wanaipinga rasimu iliyowasilishwa mezani na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Sababu kubwa...

 

10 years ago

GPL

DUH, DUNIANI KWELI KUNA WAJINGA!

SIMCHEZO duniani kuna watu. Juzijuzi nilihadithiwa mkasa nikagundua kuwa binadamu tunapishana barabarani lakini akili zetu zipo tofauti. Jirani yangu juzi kaniambia alikwenda kwao, si unajua ndugu zetu wengine wakiona dili zinakataa wanarudi kwao kusafisha nyota, sasa alipokuwa huko kusafisha nyota alikutana na  mkasa ambao ni aibu kwa wote wanaotoka eneo lile. Sikutajii eneo hilo kutokana na aina yenyewe ya mkasa, nikitaja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani