DUH, DUNIANI KWELI KUNA WAJINGA!
SIMCHEZO duniani kuna watu. Juzijuzi nilihadithiwa mkasa nikagundua kuwa binadamu tunapishana barabarani lakini akili zetu zipo tofauti. Jirani yangu juzi kaniambia alikwenda kwao, si unajua ndugu zetu wengine wakiona dili zinakataa wanarudi kwao kusafisha nyota, sasa alipokuwa huko kusafisha nyota alikutana na mkasa ambao ni aibu kwa wote wanaotoka eneo lile. Sikutajii eneo hilo kutokana na aina yenyewe ya mkasa, nikitaja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Feb
HAPA KUNA USALAMA BARABARANI KWELI?
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Kuna mfano wa Mandela duniani?
5 years ago
MichuziNI KWELI WATANZANIA KUNA CORONA... TUSIKILIZE MAELEKEZO YA VIONGOZI WA SERIKALI, WIZARA YA AFYA KUEPUKA KUENEA KWA MAAMBUKIZI
TUMESHAAMBIWA hakuna sababu ya kutishana kuhusu ugonjwa wa Corona lakini tunahimizwa kuchukua tahadhari kwa kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na kunawa mikono mara kwa mara.
Asante Rais Dk.John Magufuli kwa maelekezo na maagizo yako kwetu Watanzania katika kipindi hiki ambacho dunia inalia kuhusu Corona.Ugonjwa ambao ulianzia nchini China na kisha kusambaa nchi mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kama zilivyo nchini nyingine duniani nayo imekumbwa na...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
India , China zinaonyesha ushindani wa kweli kibiashara duniani
5 years ago
CCM BlogDUNIANI KUNA MAMBO: TOKYO NCHINI JAPAN KILA MWAKA HUFANYA SHEREHE YA KUJIANDAA NA KIFO
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.
Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila Desemba...
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Atsede Nguse: Manusura wa shambulio la tindikali asema 'Kuna watu wengi wazuri duniani kuliko wabaya'
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Watanzania sio wajinga
HIVI karibuni ilitolewa ripoti ya chapisho la tatu kwenye taarifa za kidemografia, kijamii na kiuchumi ya sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2012. Ripoti hiyo ilieleza jinsi maisha kwa...
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Mourinho:Madaktari wetu ni ''wajinga''