DUNIANI KUNA MAMBO: TOKYO NCHINI JAPAN KILA MWAKA HUFANYA SHEREHE YA KUJIANDAA NA KIFO
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.
Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila Desemba...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHUKATSU- SHEREHE ZA KUJIANDAA KABLA YA KIFO NCHINI JAPAN
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.
Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila...
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMWOMBEA MAREHEMU SABINA ITAMBIKO TOKYO NCHINI JAPAN
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mamilioni ya tani za mabaki ya chakula hutupwa kila mwaka duniani
10 years ago
Habarileo19 Oct
RC akiri Watanzania wakijituma hufanya mambo makubwa
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki, amesema, Watanzania wakijituma, wakiwa waadilifu na waaminifu watafanya mambo makubwa yenye manufaa kwa maisha yao na nchi yao.
10 years ago
GPLKIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA
10 years ago
VijimamboWATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID
5 years ago
The Guardian25 Mar
'Massively let down': disappointment in Japan after Tokyo Olympics postponed
10 years ago
Bongo509 Sep
Nay wa Mitego hufanya mambo haya matatu kabla hajapanda stejini
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AENDELEA NA ZIARA YAKE TOKYO JAPAN