Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC akiri Watanzania wakijituma hufanya mambo makubwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki, amesema, Watanzania wakijituma, wakiwa waadilifu na waaminifu watafanya mambo makubwa yenye manufaa kwa maisha yao na nchi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego hufanya mambo haya matatu kabla hajapanda stejini

Kutokana na baadhi ya video anazofanya na matendo yake, watu wengi wanaamini kuwa Nay wa Mitego ni mfuasi wa jamii ya freemason ambayo watanzania wa kawaida wanaamini kuwa ina uhusiano wa karibu na shetani. Hata hivyo wale wenye imani hiyo wanaweza kuwa ‘wrong’. Rapper huyo controversial amesema kabla ya kupanda stejini katika kila show anazofanya […]

 

5 years ago

CCM Blog

DUNIANI KUNA MAMBO: TOKYO NCHINI JAPAN KILA MWAKA HUFANYA SHEREHE YA KUJIANDAA NA KIFO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.

Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila Desemba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri waahidi mambo makubwa

Baada ya Mawaziri na Manaibu Waziri kuapishwa jana na Rais Jakaya Kikwete, wametoa ahadi lukuki kwa Watanzania kuhusu utendaji wao.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: January anataka mambo makubwa

Rais Jakaya Kikwete amezungumzia nia ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba kutaka kuwania urais mwakani, akisema mwanasiasa huyo kijana “anataka mambo makubwa, lakini hajamshirikisha”.

 

9 years ago

Bongo5

Kayumba anakuja na mambo makubwa – Madam Rita

Mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba akiomba dua baada ya kutangazwa mshindi

Madam Rita amedai kuwa mshindi wa BSS 2015, Kayumba Juma anakuja na mambo makubwa.

Madam Rita na Kayumba

Rita ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa wapo kwenye maandalizi ya mwisho ya ujio wake.

“Kayumba anakuja na mambo makubwa,” amesema. “Watu wenyewe wataona na kuthibitisha hili ninalolisema. Nataka watu wawe na subira kila kitu kitakuwa wazi soon Mungu akipenda.”

Rita na Kayumba walisafiri kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kushoot video ya wimbo wa kwanza wa msanii huyo.

Jiunge na Bongo5.com...

 

10 years ago

Bongo5

Tunda Man: Ukata unatusababisha tusifanye mambo makubwa

Muimbaji wa ‘Msambinungwa’ Tunda Man amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Tunda ameiambia Bongo5 kuwa anashindwa kufanya video yenye bajeti kubwa kutokana na halisi halisi ya kile anachoiingiza. “Vikwazo vingi, amount kidogo inakuwa inatatiza. Ukitaka kufanya video ya milioni kumi, ishirini hauwezi, wewe unakuwa na milioni tano. Kwahiyo unakuta […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Ridhiwani Kikwete afanya mambo makubwa jimbo la Chalinze

1

Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwani wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za sekondari kwa jimbo zima la Chalinze wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba jana, Shule ambazo zimepewa vitanda hivyo ni shule ya sekondari Chalinze 50, Moleto Lugoba 50, Mandera 25, Talawanda 24, Kiwangwa 50, Lugoba 38 na Kikaro 30.katika hatua hiyo Mh. Ridhiwania...

 

11 years ago

Michuzi

Musley Al Rawahi apania kufanya mambo makubwa Simba

Musley Al Rawahi akisisitiza jambo.Mjumbe mpya wa kamati ya utendaji wa klabu ya Simba, Musley Al Rawahi, amesema kuwa silaha kubwa ya kufikia maendeleo katika klabu hiyo ni umoja na kufanya kazi kwa kujituma na uadilifu mkubwa.Musley ambaye mwaka jana alimzawadia gari kiungo wa Simba SC, Ramadhani “Messi” Singano kwa kucheza vizuri katika ligi kuu ya Tanzania Bara,  alisema hayo mara baada ya kutangazwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo na pia kuwa miongozi mwa wajumbe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani