Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunda Man: Ukata unatusababisha tusifanye mambo makubwa

Muimbaji wa ‘Msambinungwa’ Tunda Man amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Tunda ameiambia Bongo5 kuwa anashindwa kufanya video yenye bajeti kubwa kutokana na halisi halisi ya kile anachoiingiza. “Vikwazo vingi, amount kidogo inakuwa inatatiza. Ukitaka kufanya video ya milioni kumi, ishirini hauwezi, wewe unakuwa na milioni tano. Kwahiyo unakuta […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Tunda Man – Mama Kijacho

MAMA-KIJACHO

Msanii Tunda Man ameachia wimbo mpya unaitwa “Mama Kijacho”. Studio A.M Records

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

NAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU

Staa wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ STAA wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ anatarajia kuachia ngoma zake tatu kwa mpigo alizowashirikisha mastaa wakubwa ndani na nje ya nchi mwezi. Tunda aliitonya Global Showbiz kuwa ngoma hizo ni Jiachie aliyomshirikisha Diamond Platnumz, Debe Tupu aliyomshirikisha msanii mkubwa nchini Nigeria (Jina linahifadhiwa) pamoja na Mama Kijacho...

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN, NYOTA NDOGO WANASWA!

Stori: SHAKOOR JONGO Kabang! Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ‘Nyota Ndogo’ wamenaswa laivu wakiwa kwenye pozi la mahaba niue. Memba wa Kundi la Tip Top Connection , Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ akipozi kimahaba na mwanamuziki Mwanaisha Abdallah ‘Nyota...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Delilah Ft. Tunda Man — Kichuna

Wimbo mpya wa msanii Delilah amemshirikisha Tunda Man Studio Rubi Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man amweka ‘Msambinungwa’ kideoni

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ juzi amezindua video ya ngoma...

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya

Matonya na Tunda Man

Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.

Matonya na Tunda Man

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.

“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani