Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuna mfano wa Mandela duniani?

Nelson Mandela daima alitajwa kama 'kiongozi mkongwe wa dunia' ambaye alikuwa na ujuzi wa kutatua matatizo ya kidunia. Wapi mfano wa Mandela?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan amesema umoja wa viongozi wa dunia waliokutanishwa na Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela utaendelea kufanya kazi yake ya kuhakikisha amani na usalama vinatawala dunia.

 

10 years ago

GPL

DUH, DUNIANI KWELI KUNA WAJINGA!

SIMCHEZO duniani kuna watu. Juzijuzi nilihadithiwa mkasa nikagundua kuwa binadamu tunapishana barabarani lakini akili zetu zipo tofauti. Jirani yangu juzi kaniambia alikwenda kwao, si unajua ndugu zetu wengine wakiona dili zinakataa wanarudi kwao kusafisha nyota, sasa alipokuwa huko kusafisha nyota alikutana na  mkasa ambao ni aibu kwa wote wanaotoka eneo lile. Sikutajii eneo hilo kutokana na aina yenyewe ya mkasa, nikitaja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani

MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...

 

5 years ago

CCM Blog

DUNIANI KUNA MAMBO: TOKYO NCHINI JAPAN KILA MWAKA HUFANYA SHEREHE YA KUJIANDAA NA KIFO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.

Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila Desemba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Atsede Nguse: Manusura wa shambulio la tindikali asema 'Kuna watu wengi wazuri duniani kuliko wabaya'

Mume wa Atsede Nguse alimshambulia kwa tindikali na kumharibu sura nchini Ethiopia, lakini wasamaria wema wamemsaidia kupona.

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI RUKWA KATIKA UWANJA WA NELSON MANDELA MJINI SUMBAWANGA

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Rukwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka (katikati) akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiimba kwa pamoja wimbo maarufu wa Wafanyakazi wa "Solidarity Forever"  na wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo katika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Baadhi ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi Mkoa wa Rukwa wakiwaongoza wafanyakazi kuimba wimbo wa uishirikiano baina yao...

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba

Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela

 

11 years ago

Mwananchi

Lugha ya Kiswahili inavyoenea duniani duniani

Inafahamika kuwa Tanzania ni kitovu cha lugha ya Kiswahili na hili halina ubishi. Kutokana na hali hii, mataifa mengi yenye taasisi za lugha kama vituo vya kufundisha Kiswahili na utamaduni wake vinaitegemea sana Tanzania kama chanzo cha taaluma ya Kiswahili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uganda mfano wa kuigwa

WAKATI baadhi ya nchi za Afrika zikiwa katika jinamizi la kuruhusu au kukataa mapenzi ya jinsia moja, Waganda jana walikusanyika kuliombea taifa lao  kwa kupinga vitendo hivyo. Shughuli hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani