Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM inavyojikwaa kupata wagombea

>Uongozi ni dhamana, ni jukumu zito, mtu hupewa uongozi na watu. Uongozi hautafutwi kwa udi na uvumba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIKAO CHA MCHUJO WA WAGOMBEA 5 WA CCM KUPATA 3 CHAAHIRISHWA HADI KESHO SAA 4 ASUBUHI

KIKAO cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichopangwa kufanyika leo kwa ajili ya kuwachuja wagombea urais watano kupata watatu kimeahirishwa hadi kesho saa 4 asubuhi mkoani Dodoma. Taarifa hii imetolewa na CCM.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Zanzibar yajadili wagombea

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Zanzibar, kujadili majina ya wagombea ubunge na uwakilishi kupitia chama hicho.

 

9 years ago

Habarileo

CCM haitishwi na wingi wa wagombea

CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema hakitishwi wala kubabaishwa na wingi wa wagombea wa vyama vya siasa wanaojitokeza kuchukua fomu za urais wa Zanzibar kwani hiyo ndiyo demokrasia ya mfumo wa vyama vingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wagonga 40

Dodoma/Dar. Mtafiti binafsi na kada wa CCM, Helena Elinawinga (41), amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania urais na kusema amefikia uamuzi huo ili kupunguza kujirudiarudia kwa adhabu za vifo kwa viongozi.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yapitisha wagombea ubunge

Katika jimbo la Pangani Vijijini, mgombea aliyeshika nafsi ya pili, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita alipitishwa badala ya John Sallu aliyeongoza.Kwa upande wa viti maalumu, Halmashauri Kuu imefanya mabadiliko katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam ambao aliyeongoza, Angela Kizigha aliondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Janeth Masaburi.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM wafikia 28

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaIDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM kitanzini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma jana, kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kufa au kupona wagombea CCM

>Leo ni kufa au kupona kwa makada wa CCM wanaowania ubunge wakati wanachama wa chama hicho tawala watakapopiga kura wilayani kuchagua wagombea kwenye majimbo yao baada ya wiki kadhaa za vikumbo zilizojumuisha kurushiana ngumi, tuhuma za rushwa, malumbano na migomo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani