Wagombea kundi la kifo CCM
Dar es Salaam. Baada ya makada kumaliza kurejesha fomu za kuomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM jana, macho sasa yanaelekezwa kwenye vikao vya juu vya chama hicho vitakavyotoa majina yasiyozidi matano yatakayokwenda kupigiwa kura na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 11 na 12.CCM imeshatangaza kuwa itatumia vigezo 13 ilivyojiwekea kuwachambua wagombea 41 waliochukua na kurejesha fomu ili kupata majina ya wachache watakaopigiwa kura na mkutano huo mkuu, lakini Kamati ya Wazee, ambayo itatoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Kili Stars yapangwa kundi la kifo Chalenji
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) jana limepanga droo ya michuano ya Kombe la Chalenji, itakayoanza Novemba 21 mwaka huu nchini Ethiopia.
Droo hiyo imeonyesha kuwa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, imepangwa kundi A sambamba na wenyeji Ethiopia, Somalia na Zambia ‘Chipolopolo’ iliyoalikwa kwenye michuano hiyo na kulifanya kuwa kundi la kifo.
Wawakilishi wengine wa Tanzania, Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wenyewe...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Kundi la kifo lazibeba Ghana, Algeria Afcon
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Man City yatupwa kundi la kifo, Ronaldo aula
9 years ago
Mwananchi14 Aug
CCM yapitisha wagombea ubunge
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wagombea CCM wavunja rekodi
IDADI ya wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuongezeka na jana wagombea wengine sita walichukua fomu na kufanya idadi ya watu wanaowania kumrithi Rais Jakaya Kikwete kufikia 10.
10 years ago
Habarileo11 Jun
Wagombea urais CCM wafikia 28
IDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM
10 years ago
Habarileo02 Feb
Wagombea urais CCM kitanzini
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Wagombea urais CCM wavurugwa
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.
Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.
Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...