‘MAPADRI KANISA KATOLIKI WAOE’
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oiRF4v-c03Zm5acxizplgdFaVgEwLXZzQ51JXOdOtFTwuraqyq6-*vpq3ss8Tl3BXD4bERt*11IViDY5oqUl3N/kweliiikabisa.jpg)
Stori: Haruni sanchawa LILE vuguvugu la kutaka mapadri wa Kanisa Katoliki duniani waoe limezidi kukua kufuatia baadhi ya waumini wa kanisa hilo nao kupendekeza watumishi hao waoe kama wanaume wengine.Waumini hao walisema mara nyingi wamekuwa wakisikia baadhi ya mapadri wamezaa au wana mademu, kwa hiyo hawaoni sababu ya kuendelea kuwazuia kuoa. Papa francisco “Kama padri ana demu au amemjaza mwanamke mimba hadi amezaa,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
11 years ago
Habarileo30 Jun
Membe apongeza Kanisa Katoliki
KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.
10 years ago
Habarileo02 Nov
Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50
KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
UN yalaani sera za kanisa katoliki
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Kanisa Katoliki kortini Poland
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?
11 years ago
Habarileo06 May
Padre wa Kanisa Katoliki afa ajalini
WATU wawili, akiwemo Padre Martin Kapufi (37) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, wamekufa katika ajali ya gari, walilokuwa wakisafiria, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kamsisi Barabara ya Inyonga -Tabora.
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Kanisa Katoliki lapinga muhula wa 3 Burundi