Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wataka nafasi zaidi kwenye uwaziri

BAADA ya Awamu ya Tano ya Uongozi wa nchi kushuhudia wanawake wakiweka historia kushika nafasi ya Makamu wa Rais na Naibu Spika, asasi ya Mtandao wa Wanawake na Katiba, imezitaka mamlaka za uteuzi, akiwemo Rais John Magufuli kuteua wanawake katika nafasi za uwaziri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wanaong’arisha nafasi ya mama kwenye filamu

LEO tukiwa tunaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, haitakuwa busara kama hatutawapa pongezi wanawake katika tasnia ya filamu ambao wameonekana kufanya vizuri, kama njia mojawapo ya kuwapa moyo kuongeza jitihada na...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Wanawake hawajahamasika kuthubutu kwenye nafasi za uongozi

>Tangu enzi na enzi wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama wasaidizi wa wanaume na wamekuwa hawahusishwi kwenye nafasi mbalimbali, hasa zile kubwa serikalini, hata kwenye madhehebu mbalimbali ya dini.

 

10 years ago

Bongo5

Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!

Mohammed Dewji ndiye mtu tajiri zaidi nchini Tanzania, kwa mujibu wa orodha ya mwaka 2015 ya mtandao wa Forbes wa mabilionea 32 barani Afrika. Awali ni Rostam Aziz ndiye aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Forbes, Dewji mwenye umri wa miaka 39 ana utajiri wa dola bilioni 1.3. Utajiri huo unamfanya mfanyabiashara huyo ambaye […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya ifungue urais, uwaziri mkuu kwa wanawake

SITAKI kumtaja mtu katika makala hii, lakini najua wapo baadhi ya viongozi haijalishi wamestaafu au wako madarakani, ambao wameonyesha namna walivyo mbumbumbu katika masuala ya siasa, uongozi, haki za binadamu...

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce aongoza orodha ya Forbes ya wanawake kwenye muziki walioingiza fedha nyingi zaidi 2014

Beyonce ndiye mwanamke kwenye muziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2014. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mke huyo wa Jay Z ameingiza dola milioni 115 mwaka huu ikiwa ni zaidi ya nusu ya aliyoingiza mwaka jana. Fedha hizo zimepatikana zaidi kutokana na ziara yake ya muziki duniani na hivyo kumpiku Taylor Swift ambaye mwaka […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake wataka mapadre waruhusiwe kuoa

Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wanamtaka Papa Francis abadilishe sheria kuwaruhusu viongozi hao wa dini kuoa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wataka vituo zaidi vya saratani

WANAWAKE wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora, wameomba huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi (Cervical Cancer) kufika hadi vijijini ili kupunguza hatari ya akina mama wengi kupoteza maisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani