Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wenye bahati

Ni nadra kuona mwanamke akiwa mke na mama wa rais kama ilivyokuwa kwa Ngina Kenyata wa Kenya, na Barbara Bush wa Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

Wanawake wafanyakazi wa NBC wawakumbuka wanawake wenzao wenye matatizo

 Baadhi ya wafanyakazi wanawake  wa Benki ya NBC wakibeba gunia la unga tayari kwenda kutoa msaada kwa wagonjwa wanawake waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo na kuwajali wanawake wenzao walio katika shida.  Mmoja wa maofisa waandamizi wa Benki ya NBC, Sarah Laizer , akikabidhi  jora la khanga kwa Msaidizi wa Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya  Kansa ya Ocean Road, Sr. Genoviva Mlawa  (kushoto) pamoja na vitu vingine vilivyotolewa na...

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.


Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...

 

11 years ago

Michuzi

TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA)  Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wenye vyeo huzongwa na mawazo

Wanawake huonyesha ishara za kuzongwa na mawazo kazini iwapo wanasimamia nyadhfa za juu ikilinganishwa na wanaume,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yasaidia wanawake wenye kansa

UMOJA wa wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania unaofahamika kwa jina la ‘Airtel Divas’ wameandaa hafla ya kuchangisha fedha ili kusaidia kinamama wanaosumbuliwa na maradhi ya kansa katika Hospitali ya Ocean...

 

10 years ago

GPL

TATIZO NI WANAWAKE WENYE MSHIKO AU WALIOTESWA?

Kuna tatizo moja la msingi sana limekuwa likisemwa kuhusu uhusiano wa kimapenzi na wanawake wenye uwezo wa kifedha, kwamba mapenzi yao mara nyingi yamejaa dharau. Sina uhakika na hili ndiyo maana nimeuliza hapo juu, lakini katika maisha halisi, zipo dalili za ukweli zinazoakisi jambo hili, hasa kutokana na uzoefu wa maisha ya kibantu yalivyo. Katika jamii yetu, tumeukuta utamaduni wa mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume, kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WENYE ULEMAVU WAELIMISHWA JUU YA UCHAGUZI

 Mkurungenzi Mtendaji wa kituo cha msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) Theosia Nshala akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu ya taratibu mbarimbari za Uchanguzi hususani hari za mwanamke katika Uchanguzi hapa nchini katika mdahalo uliofanyika  Jijini Dar es Salaam. Mwanaharakati na Mtaaramu wa Jinsia na Haki za Binadam Gema Akilimali, akuzungumza kwenye mdahalo na wanawake wenye ulemavu (TAMAWA) juu Kuwajengea wanawake ufahamu na ujasiri wa kushiriki katika...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake wenye watoto wawekwe gereza maalumu’

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Injinia Stella ManyanyaMKUU wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya amependekeza sherehe za maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini zitumike kwa wadau mbalimbali na viongozi wa dini kuchangia fedha ili watoto wanaoishi na mama zao magerezani waweze kuishi maisha ya staha kwa kujengewa jengo lao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani