Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wandishi wanawake huru kutizama voliboli Iran

Vyombo vya habari nchini Iran, vinasema wandishi habari wa kike wataruhusiwa kwenda kutizama mechi za voliboli pamoja na wanaume .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Voliboli :wanawake Kenya vinara

Timu ya wanawake ya Voliboli nchini Kenya yawiki michuano ya All Africa Games

 

11 years ago

BBCSwahili

Iran: Uchaguzi huru utaokoa Syria

Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema kuwa Syria inahitaji uchaguzi huru na wa haki kama njia pekee ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa unaotokota nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran yaiachilia huru meli ya mizigo

Iran imeachia meli ya mizigo iliyoikamata katika maeneo ya baharini huko Hormuz

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona

Msemaji wa idara ya mahakama amesema wafungwa waliachiwa huru baada ya kuthibitishwa hawana virusi vya corona

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook yawapa 'uhuru' wanawake Iran

Wanawake nchini Iran wameanza kuweka picha zao katika akaunti maalum ya Facebook wakiwa bila hijab katika harakati za kudai uhuru

 

10 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya michezo kwa wanawake Iran

Ghonche Ghavami,ambaye alitiwa korokoroni kwa kuthubutu kuangalia mechi ya mchezo wa Volleyball yuko huru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wakatazwa kushabikia mechi Iran

Wanaharakati nchini Iran wamekasirishwa na hatua ya kuwazuia wanawake nchini humo kushabikia mechi ya mpira wa wavu ya wanawake dhidi ya Marekani

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN

Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke). Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: "Coronadamas", wanawake wanaoosha miili ya waliokufa na covid-19 Iran

Watu waliojitolea kuosha maiti maarufu kama "coronadamas" wanaendesha kazi yao katika mji wa Iran wa Qom ili kutimiza moja ya tamaduni za tangu jadi ya dini ya Kiislamu ya kumuosha maiti kabla ya kuzikwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani