Iran: Uchaguzi huru utaokoa Syria
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema kuwa Syria inahitaji uchaguzi huru na wa haki kama njia pekee ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa unaotokota nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Iran kutohudhuria mazungumzo ya Syria-UN
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amefutilia mbali mwaliko uliotolewa kwa Iran kuhudhuria mazungumzo ya amani ya Syria nchini Uswisi
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Iran kuhudhuria mkutano wa Syria-UN
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameilika Iran katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa amani kuhusu Syria utakaofanyika wiki hii
10 years ago
BBCSwahili07 May
Iran yaiachilia huru meli ya mizigo
Iran imeachia meli ya mizigo iliyoikamata katika maeneo ya baharini huko Hormuz
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Putin azuru Iran kujadili hatma ya Syria
Rais Putin anazuru Tehran kwa mazungumzo na kiongozi wa Iran kuhusiana na mapigano yanayoendelea nchini Syria.
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Watawa waachiliwa huru Syria
Imethibitishwa kuwa waasi nchini Syria wamewaachilia huru watawa 13 na wafanyikazi 3 wa nyumbani waliotekwa nyara mwaka jana
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Wandishi wanawake huru kutizama voliboli Iran
Vyombo vya habari nchini Iran, vinasema wandishi habari wa kike wataruhusiwa kwenda kutizama mechi za voliboli pamoja na wanaume .
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Mateka wa Sweden waachiliwa huru Syria
Sweden wanasema kuwa raia wake wawili ambao walikuwa wakishikiliwa mateka nchini Syria wameachiliwa huru kupitia usaidizi wa Palestina na Jordan
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Msemaji wa idara ya mahakama amesema wafungwa waliachiwa huru baada ya kuthibitishwa hawana virusi vya corona
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Uchaguzi mkuu wafnyika Syria
Wakazi wa Damascus wameambia BBC kuwa wanampigia kura Rais Assad kwa sababu anapambana na tisho la ugaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania