Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waomba kanda maalum ya kipolisi

WABIA wa ulinzi na usalama mkoani Kigoma, wameliomba Jeshi la Polisi nchini kuweka kanda maalum ya kipolisi mkoani humo, ili kukabiliana na uhalifu. Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa tishio...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Polisi Kanda Maalumu waomba utulivu

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kikamilifu kulinda amani na usalama wa nchi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi na wakati wa uchaguzi mkuu na kutoa onyo kwa wale watakaovuruga amani na usalama, kwani wakibainika watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania, Afrika Kusini kuimarisha kanda maalum za uwekezaji

TANZANIA na Afrika Kusini zimeingia makubaliano ya kuunda vikosi kazi kuimarisha mamlaka za ukanda maalumu za uwekezaji katika nchi hizo. Hatua hiyo imekuja baada ya ujumbe wa maofisa kutoka Serikali ya Afrika Kusini kutembelea Mamlaka ya Ukanda Maalum ya Uwekezaji (EPZA) jana jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

StarTV

Polisi Kanda maalum Dar yapiga marufuku maandano ya Chadema.  

 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limezuia  maandamano ya wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yasiyo kuwa na kikomo  kwasababu ni kinyume na sheria.

Maandamano  ya wafuasi  wa CHADEMA yalipangwa kufanyika  kuanzia  Novemba 3 mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam  kudai uporwaji wa Demokrasia dhidi ya mgombea wao Edward Lowassa.

Ni kamishina wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Kamanda Suleimani Kova akitoa tamko la...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LAUNDA KAMATI ITAKAYORATIBU KERO ZA WAFANYABIASHARA WA KARIOAKOO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeuda kamati ya pamoja baina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo na maafisa wa Jeshi hilo ili kuwa na utaratibu sahihi wa kushughulikia kero za uhalifu miongoni mwa wafanyabiashara wazalendo na wageni zinazojitokeza katika soko hilo. 
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova ametangaza kamati hiyo alipokuwa akijibu hoja na maswali mbalimbali yaliyoulizwa na baadhi ya wafanyabiashara wa sokoni hapo juu ya baadhi ya kero...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LATOA TAHADHALI KWA WANAWAKE KUTOSHIRIKI KIMAPENZI NA WATU WASIOWAJUA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaa hususani wasichana kuwa makini na wanaume wanaowataka kimapenzi na baadaye kuwauwa na kutelekeza miili yao.
Zimekuwepo taarifa juu ya kuwepo kwa wanaume wawili wanaoshawishi wanawake kuwa nao kimapenzi na baada ya muda huwauwa. Hivyo natoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhali juu ya watu hawa maana huatarisha maisha yao au ya familia zao.
Inaaminika watu hao...

 

10 years ago

Michuzi

ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanza kumhoji Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kujisalimisha kama alivyotakiwa kufanya hivyo na Kamishana wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani