Waomba mwana Wade afungwe miaka 7 jela
Wanedsha mashtaka wameomba mwana wa aliyekuwa rais wa senegal ahukumiwe kifungo cha miaka saba kutokana na madai ya ufisadi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
5 years ago
Michuzi
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
11 years ago
GPL
HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4
10 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Mwana Fa anogesha hafla ya miaka 250 ya Hennessyâ€









10 years ago
GPL
MORSI JELA MIAKA 20
10 years ago
GPL
MCHUNGAJI JELA MIAKA 30
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Wahukumiwa jela miaka 90
11 years ago
Habarileo10 Jan
Watupwa jela miaka 26
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, imehukumu watu sita kwenda jela miaka 26 na wengine miaka 28 kila mmoja, kwa kuingia ndani ya Hifadhi ya Serengeti na Eneo Tegefu la Maswa bila ya kibali.