Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapendekeza maadili yafundishwe chekechea

MAOFISA watendaji wa kata, mitaa, vijiji na wawakilishi wa vyama vya siasa kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara, wamependekeza somo la maadili ya umma lifundishwe kuanzia chekechea. Rai hiyo ilitolewa jana jijini hapa baada ya mafunzo ya siku moja kuhusu maadili ya viongozi na watumishi wa umma katika usimamizi wa rasilimali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

Michuzi

Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Na  Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ikiwa ni siku ya nne tangu Baraza la Maadili lianze kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya Viongozi mbalimbali wa umma, Baraza hilo limeendelea kusikiliza ushahidi kutoka upande wa Walalamikaji dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo.  Mhe. Gambo analalamikiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Matumizi mabaya ya uongozi yakiwemo matumizi ya lugha chafu,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wapendekeza nauli za daladala zipunguzwe

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini Sumatra (Sumatra-CCC), wameishauri Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kupunguza nauli za mabasi, ikiwamo daladala kwa asilimia 15 hadi 24.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TFC wapendekeza soko la pamoja

UMOJA wa Vyama vya Ushirika (TFC) umependekeza muswada wa sheria kuhusu soko la pamoja. Mapendekezo hayo waliyatoa jijini Dar es Salaam jana walipokutana na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki...

 

10 years ago

Habarileo

Wapendekeza mahakama kumulikwa kwa rushwa

BAADHI wa wajumbe walio wachache wa kamati namba tano wamependekeza kuwapo kwa chombo maalumu cha kuweza kuangalia utendaji wa mahakama ambayo inalalamikiwa na wananchi wengi kuwa imeshamiri kwa rushwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wapendekeza Kura ya maoni Kenya

Wafuasi wa upinzani walikusanyika katika mji mkuu Nairobi kulalamikia maswala ambayo wanasema serikali imepuuza kuyatekeleza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani